Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa mtiririko huu mnaokwenda nao katika mechi mbali mbali kadri ligi inavyoendelea na usajili wenu huu wa kubahatisha usiokuwa na malengo ..... na uongozi huu mbovu ambao haujawahi kutokea uongozi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu, Hebu tujadili hizi kampuni kubwa kubwa za kubet huko duniani, hivi hazihusiki na upangaji wa matokeo kweli!? Natoelea mfano Southampton inacheza na Arsenal, kwa kasi ya...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari inayozagaa mjini ni kwamba Aboubakar bakhresa anataka kuinunua timu ya simba Akipanda dau juu ya lile dau lililotolewa na billionea kijana mbichi na mbunge wa zamani wa SINGIDA MJINI...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Ameongea leo kupitia radio one akimlalamikia mwamuzi kati yao na Stand.utd Shinyanga akidai ameihujumu Simba. Anasema amewanyima penati halafu alimaliza mpira kabla ya kona kupigwa. Anasema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya jana kushuhudia mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga kwa mara nyingine tena wakiwapitisha kwenye shamba lenye mbigiri wagonga nyundo Mbeya City FC, ligi hiyo inaendelea tena...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Diwani wa kata ya Ng`ambi jimbo la uchaguzi la Mpwapwa Dr.Dastan Malogo MD.MPH(Entomology) P.hD amefariki leo hii katika hospital ya Mkoa wa Dodoma. Afya yake ilibadilika gafla mala tu ya baada...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ozil atatesa kwenye assists kwa sababu ana akili nyingi mno. Hatoi pasi za mwisho bila kuwa na uhakika wa asilimia nyingi kwamba atakayempasia ana nafasi kubwa ya kuweza kufunga kuliko wengine...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bondia Thomas Mashari kutoka Dar amempiga Francis Cheka kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77. Majaji wamempa Mashari pointi 94, 96 na 97 wakati mwenyeji Cheka...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
beki bora wa kulia kabisa hapa tanzania lakini apewi sifa na heshima anazo stahili anawazidi wengi wa timu kubwa tatizo anachezea jkt ruvu . anajua kukaba kushambulia na anafunga na ni mtaalamu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau ni kwamba timu ya Mbeya city inazidi kupotea katika ulimwengu wa soka baada ya wanasiasa kuingilia kati na kufanya kuwa chanzo chao cha pesa(maslahi binafsi) kuliko ya timu. Kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Update: 4:27PM Louis van Gaal hinted that he could vacate the Old Trafford hot seat after watching Stoke City swat aside his timid Manchester United team 2-0 in the Premier League. Goals...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samattaapata timu Ulaya (dimba) Mshambuliaji wa kimataifa waTanzaniaanayekipiga katika klabu yaTP Mazembeya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Mbwana Samattaamethibitisha kupata timu ya kwenda...
0 Reactions
64 Replies
11K Views
mbona kimya Simba Yanga wapi leo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu lete tathimini yako nani ataibuka mshindi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uongozi wa klabu ya Yanga, umetangaza kumsimamisha Haruna Niyonzima kwa muda usiojulikana. Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha amesema Niyonzima amesimamishwa kutokana na utovu wa nidhamu...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
tumezoea kwa miaka michache iliyopita mfululizo uwepo wa mpambano mkali kati ya watani wa jadi SIMBA V YANGA.., unaodhamiwa na bia ya Kilimanjaro. Lakini kwa mwaka huu kumekuwa kimya amna ata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Huku chelsea ikiichapa club iliyopo mkiani katika msimamo wa EPL sunderland 1 - chelsea 3 mashabiki wa chelsea wamewazomea wachezaji wao wakiwaita 'rats'. Three rats wakiwa ni Diego, Hazard na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huku wazee wa Old Trafford wakiendelea kumtazama Louis Van Gaal kwa jicho la 'sack him' na Chelsea wakiwa chini ya kocha wa kumi wa 19 wa kipindi cha mpito mholanzi 'Guus Hiddink' akisaidiana kwa...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ujio wa Pep Guardiola ndani ya ligi ya EPL na 'mshangao mshangao' wa Louis Van Gaal unaonekana kuwalazimisha united kubadili mind set yao kuhusu aina ya soka...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari kutoka gazeti la Mwananchi inasema kuwa makocha wa Taifa Stars watakuwa wanalipwa na TFF na wala sio serikali kwa kuwa hakuna ulazima wa wao kuendelea kulipwa na serikali badala ya TFF...
0 Reactions
64 Replies
11K Views
Back
Top Bottom