Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari za uhakika ni kuwa hatimaye Carlo Ancelloti amekubali kutua Bayern munchen baada ya Pep Guardiola kuondoka mwishoni mwa msimu huu!
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Taifa Stars imesukumwa nje ya mashindano ya awali ya kombe la dunia kwa aibu ya kipigo cha mabao 7-0 toka kwa Algeria. Kilimanjaro Stars (ya Tanzania Bara) imetupwa nje ya michuano ya Challenge...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Aliyekuwa meneja wa timu ya taifa ya Uholanzi Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kaimu meneja wa Chelsea hadi mwisho wa msimu. Ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kufutwa Alhamisi. "Nimefurahia kurejea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello Swahili rendition is so nicely done by dela on youtube that it is earning international recognition by USA entertainment media like TMZ. Hicho kibao kilifaa kuimbwa kwa kiswahili Mara ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aliyekuwa meneja wa timu ya taifa ya Uholanzi Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kaimu meneja wa Chelsea hadi mwisho wa msimu. Ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kufutwa Alhamisi. Hiddink, aliwahi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ligi ya soka ya Tanzania inadhaminiwa na kampuni ya simu ya Vodacom na ya Uganda mdhamini wake ni kampuni ya Azam. Nimeona pana tofauti kubwa katika mambo kadhaa hasa ukizingatia Uganda wapo juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya. Bodi ya klabu hiyo ilikutana jana kujadili hatima ya Mourinho chini ya mmiliki wa...
0 Reactions
77 Replies
10K Views
Nimepitia ukurasa wa instragram wa mtangazaji wa michezo wa clouds FM ya jijin Dar esSalaam sikupendezwa na video za mipasho alizoweka kuhusu wasemaji wa Yanga na Simba. Hicho anachofanya...
0 Reactions
17 Replies
12K Views
Hili ni group la mashabiki wa Yanga tunawakaribisha wana yanga wote Kupitia yanga tumeamuwa kwa moyo wetu wa zati kabisa kukikusanya na kusaidiana mambo mbali mbali kupitia Yanga na kuwasamini...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Jose Mourinho has turned down the ?40 million compensation package from Chelsea and told them to use it to rebuild the club. What a guy.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yanga imemfanyia vipimo mshambuliaji Issofou Boubacar ?Diego raia wa Niger
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Na atalipwa nusu mshahara kipindi chote cha kifungo chake...binafsi naipongeza yanga kwa hatua hiyo,yanga hatujawahi kuringiwa na mchezaji,tuliwahi kumfungia emanuel okwi kuelekea mechi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amekutana na bodi ya klabu hiyo kujadili hatima ya meneja wa klabu hiyo Jose Mourinho. Hii ni baada ya klabu hiyo kuandikisha matokeo mabaya sana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
imecheza mechi 15 nafasi ni ya 15 ina point 15 je ni ni team gani hiyo?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kocha Mwambusi ndiye amempendekeza maana alikua nae Mbeya city kabla Mwadui FC.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani wenye huelewa wa jinsi ya kujiunga meridian kwani nikijaribu kujiunga nashindwa wananiambia clear your history
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba Kuuliza ni channel ipi itarusha mtanange wa Tp Mazembe na timu ya Hiroshima na saa ngapi?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mpambano utaanza dakika tisa zijazo. Kimsimamo,Leicester iko nafasi ya tatu na Chelsea iko nafasi ya kumi na tano. Stay updated!
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Angekuwa hai mafisango ningewambia alivyoteseka..nasikitika wachezaji.wengi wetu awataki kufanya juhudi wanadili kupiga watu misumari yupo mmoja simba mpaka akutane na kigingi akakimbilia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapenzi wa soka leo tunapata kufahamu nani atakutana na nani kwenye mashindano ya UEFA. Muda huu draw inafanyika
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom