Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nahitaji kufahamu tofauti ya watu hao.Wana tofauti gani katika football maana kuna wakati anaitwa team manager na kuna wakati anaitwa head coach
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mchezaji nyota wa timu ya Chelsea Eden Hazard ametaja wachezaji wake nyota watano huku akiwaacha wachezaji bora wa dunia Lionel Messi na Christiano Ronaldo. Hazard aliulizwa juu ya kikosi chake...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Bonyeza link chini hapo.ni bureee Xmas Car Giveaway 2015 | Car From Japan
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kama sikosei tanzania ina mawakala sio chini ya saba lakini naona kama hamna wakala vile nao wakumbuka saidi tuli,hemed remtula,salehe ally,yussufu bahresa, John ndumbaro na jamal kisongo lakini...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ni maoni yangu nimeona Tanzania tuna wachezaji wawili wa maana ambao hawastairi kucheza Tanzania ila mfumo wetu unaendelea kuwabakisha nawa zungumzia Saidi Ndemla na Faridi Musa hii ni dhahabu...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Hapa nimemjua Mwameja tu. Naomba mnitajie kuanzia kwa Mwameja kwenda kushoto kisha waliochuchumaa kutoka kusho kwenda kulia.
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wadau ninaomba Mwenye historian fupi ya wachezaji hao toka wameacha kucheza mpira.Wako wapi Na wanafanya nini
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Wengi ukiwauliza katika soka tunafuata falsafa gani, watakujibu 'hatuna'. Lakini kiukwei tunafuata falsafa ya KIPAJI, kwa maana kutegemea mchezaji anafikiria vipi akiwa na mpira. Hapa hatutoki na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
📊⇦❈ Leicester City in the Premier League this season .. ? ? ♡ sρσят👥ηєwѕ ♡ ? ? = ● = ● = ● =...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni msim mwingne wa ligi kuu nchin uingereza,,, J'mos Augost 8 8:45> Man u Vs Tottenham 8:45> Bournemouth Vs A/villa 11:00> Evarton Vs Watford 11:00> Leicester...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Ushindi dhidi ya Sunderland ni muhim sana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Kuhusu zile tetesi za mshambuliaji bora kabisa kwa sasa katika KPL, Raphael Kiongera kurejea Msimbazi... Raphael Kiongera mwenyewe kanena haya... "Sasa ninajiandaa kurudi Simba nikapiganie...
0 Reactions
18 Replies
57K Views
Leo Mnyama katakata ipasavyo kisiwani Unguja, katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya timu bora kabisa kwa sasa kisiwani Unguja.. Kimbunga F.C. Hii ni baada ya kuondoka na ushindi mnono wa goli...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
📌.Mechi za Leo📌 📆.December 5, 2015 🎲..E P L🎲 Stoke ? Man City ? 3:45 Mecca .. 📺 ABN Sport HD2 .. 🎤 Rauf Khalif .. Man United, West...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kumekuwa na hizi betting mashine nyingi mitaani ambako nimeona watoto na vijana wetu wameona kama ni sehemu zao za ajira.Kwangu mimi nimeona kama ni bomu linalosubiri kulipuka kwani limewafanya...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ndugu wana jf ni siku nyingi kidogo nilikua nje ya dunia,sasa tangu nimerudi sijamuona mchezaji huyu.ni wapi alipo?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hello Wakuu, naomba mnieleweshe kigezo gani mnatumia kumuita amacha shujaa? anafungwa bao saba, kwa miaka hajafahi kufuzu hata shindano moja la maana bado mnawaita mashujaa.... ??? hamjitambui au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika mechi ya 'El Clasico' ya Jana kati ya mahasimu wakubwa Real Madrid na Fc Barcelona tukio kubwa ni lile la mashabiki wa Real Madrid waliposimama na kumshangilia kiungo mahiri wa Fc Barcelona...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Maafisa kadha wa Fifa wamekamatwa kwenye msako wa polisi uliofanywa katika hoteli moja kuu mjini Zurich, Uswizi. Polisi walifika katika hoteli ya kifahari ya Baur au Lac mjini humo na wakaonekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Licha ya kushinda goli 3 kwa 1 dhidi ya timu ya sedunda B, Real madrid ipo hatarini kuondolewa kwenye mchiano hiyo baada ya kocha kumchezesha mchezaji Denis Cheryshev aliefunga goli la kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom