Habari wakuu,
Leo timu Zanzibar ilikuwa inahitimisha karata yake ya mwisho CECAFA kwa kuwa ilikuwa imeshatoka kwenye mashindano baada ya kufungwa mechi zake mbili za utangulizi. Dakika ya 45, K...
Kuna "kiumbe" anawasumbua vilivyo mabeki wa ligi daraja la kwanza [SDL] na Kombe la Shirikisho kwa sasa.. Yaani jamaa anatupia anapojisikia tu.. Hakuna wa kumzuia.. Kiumbe huyu si mwingine bali ni...
Algeria 7 - 0 Tanzania, hivyo ndivyo ulivyosomeka ubao wa matangazo uwanjani Blida, baada ya mechi ya marudiano ya Kufuzu Kombe la Dunia 2018 kuisha Ok. 17 mwaka huu.
Tukubaliane jambo moja, kila...
Wakuu, nina furaha isiyo kifani wa matokeo ya mechi ya El Clasico iliyochezwa juzi tarehe 21 Novemba tena nyumbani kwa hasimu wetu Real Madrid. Matokeo ya mechi hiyo ni Barca 4 Real Madrid 0...
Kombe la Polisi jamii Kiteto limekamilika ambapo timu ya REGGE BOYZ iliibuka mshindi dhidi ya Matui Sot Club kwa bao 2-1
Awali timu 12 zilishiriki matika mashindano hayo ambapo mshindi wa kwanza...
Habari wakuu,
Leo ni muendelezo wa kombe la CECAFA na Tanzania bara chini ya Kibadeni inarusha karata nyingine dhidi ya Rwanda. Timu ya taifa ya Rwanda imependeza ndani ya uzi wa njano na...
Mpira wa miguu umetushinda Tanzania.Inakuwaje timu ya Taifa inaingia uwanjani kucheza mechi huku Jezi waliyovaa ina tangazo la biashara (Kilimanjaro beer).
Watangazaji wa DSTV walikuwa...
Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinadai kuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Mtibwa Sugar, Juma Liuzio amefuzu majaribio katika klabu ya Zesco inayoshiriki ligi kuu ya...
Yacine Brahimi is bidding to become only the second man to retain the BBC African Footballer of the Year trophy, after Nigeria's Jay-Jay Okocha won in 2003 and 2004.
The...
Napenda kumuasa mchezaji huyu kuachana kabisa na mawazo ya kujiunga na Simba, Yanga na hata Azam kwa maendeleo yake ya kucheza soka. Badala yake ajikite kutafuta timu yoyote nje ya nchi hii hata...
Timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes leo imeanza vibaya mbio za kuwania kombe la CECAFA Chalenji katika michuano inayohusisha timu za ukanda wa Afrika Mashariki na kati, iliyoanza leo nchini...
Huku familia ya wanasoka nchini Tanzania ikiwa katika maombolezo ya Taifa Stars kupigwa kipigo cha karne cha 7-0 na Algeria, timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) imeanza kupoza machungu ya...
Mimi ni Yanga damu, nimekuwa naipenda Yanga tangu utotoni. na ilifika mahali Yanga ikifungwa hata chakula siwezi kula. Sasa mdudu wa siasa ameingilia klabu yetu. Yanga imeonesha waziwazi kuwa...
Navuta picha hili goli la 2 na 4 waliyofunga Barca dhidi ya R.Madrid yangefungwa kwenye mechi kati ya Yanga na Azam halafu ndo yanga wamefungwa hivyo...daaaaaa refa Martin Sanya angeshatoka damu...
Real Madrid wakiamua kucheza mpira wa uhakika hutapenda mechi iishe, hii timu mpira wake ni mtamu sana kuliko zote kwangu mimi...
Sijui wenzangu mnaonaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.