Katika magazeti ya leo yamepoa kama hakukuwa na mechi yoyote jana, kwanini hawajaiandika magazetini?
Acheni unafiki nyinyi hivi mngeshinda kweli hapa leo si tungesoma kila page mambo ya stars...
Naona jana baada ya Taifa Stars kuongoza basi vikaanza kauli mbiu ya hapa kazi tu. Mara mechi za nyuma January makamba aliruhusu washabiki waingie bure tena ikiwa ni wakati wa kampeni, mara...
Hii aibu hii,Team haibebeki.Kila siku hatuna furaha.
Ukiangalia mechi za hii team kila siku roho juu.Haifai hata kwa kulumagia hii team.
Nakuomba chondechonde ifute tu hii team isije ikaha kukutia...
Timu yetu ya taifa leo imefundishwa mpira na Algeria kuwa kuipgwa 7-0! Hii ni rekodi.Sijawahi ktk akili zangu timamu kuwahi kusikia Tz ikipata kisago cha aina hii. Sote tunawajibika lakni wewe ni...
Nimeshuhudia mechi nyingi za waarabu. Mechi zao ni fitina na ulaghai wa kila namna.
Watanzania tujifunze fitna kwani wenzetu wana fitna nyingi sana.
Yaani kila saa hata wakiguswa shati...
Ni lazima nihakikishe naangalia mechi nikiwa na Diclofenac, Asprin au Diclopa pembeni
Pia kwa wale wenye Presha siwashauri kuangalia mechi hii. Nina matumaini makubwa na
Timu yetu Nawatakia kila...
Hii ni mechi ya kwanza ya mzunguko wa pili kufuzu kuelekea Kombe la Dunia 2018.
Ni mechi muhimu kwa timu ya taifa ya Tanzania maana itakuwa nyumbani uwanja mkuu wa Taifa.
Katika michezo mitano...
A film to be directed by actor Angelina Jolie about the life of conservationist Richard Leakey will be shot in Kenya, Leakey told reporters on Monday, giving what Nairobi hopes will be a boost to...
Ni siku chache zimebaki kabla ya kukutana na Algeria ili tufuzu kwenye awamu ya makundi ya kombe la dunia.
Mkwasa afanye nini?
Kikosi kilichoanza kilikuwa vizuri ukiondoa mihemko ya Thomas...
Doping could cast a shadow over Kenya at the 2016 Rio Olympics unless the East African nation implements credible systems to root out drugs cheats, said veteran Kenya-based coach Brother Colm...
Naangalia mechi ya Taifa Stars vs Algeria kupitia TBC, cha ajabu na cha aibu move muhimu hazifanyiwi replay yoyote kwa faida ya watazamaji.
Hii ni aibu kwa television ya Taifa kuzidiwa na...
_mshambuliaji wa manchester united jesse amejumuishwa kwenye kikosi cha england kitakacho pambana na france siku ya jumanne.ikiwa ni mara yake ya kwanza kuitwa kwenye kikosi cha wakubwa cha england.
Nilikua siamini na nilichotarajia ni sare tu kwa kua tunataka sifa tu sio kushinda mchezo tumeshukuru kwa sare ila bao la samata linazidi kumsafishia njia ya kwenda kua top wa mabao wa lile ya...
_baada ya mechi za kimataifa ambazo bado zinaendelea kuchezwa manchester united ikiwa katika nafasi ya 4..inatarajia kucheza na watford ugenini...draw walizozipata man city pamoja na arsenal...
HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya...
unaongoza gol mbli bila,hata dk ya 70 bado unatoa mtu ambae alikua anafanya kaz kubwa unaweka m2 wa show game
mudathir alicheza vema na himid mao pale kati na kufanya stars kudominate game,coz...
Wakuu naomba mwenye taarifa ya mechi ya Leo inaanza saa ngapi?, na je television yetu ya taifa itaonyesha mechi hii na kama television yetu ya taifa haitaonyesha ni television ipi itaonyesha ili...
Abdallah 'king' Kibadeni ameteuliwa na TFF kama kocha mpya wa Kilimanjaro Stars kuelekea mashindano ya CECAFA ya Chalenji yatakayoanza Novemba 21 huko Addis Ababa Ethiopia.
Mashindano yataanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.