Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mheshimiwa Kassim Majaliwa hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika. Wewe ni mwanamichezo mzuri kwanza ni kocha wa timu ya bunge, pili ni mwanachama hai na mzuri wa Simba...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Huyu dogo Mbwana Sanmatta a.k.Samagoli timu yake anayoichezea imempandisha chati kweli,lakini stars imevunjia soko, jana mliona madalali majkwaani wanaangalia wachezaji walishindwa kuamini kama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilibett majuzi siku taifa stars aliposhindwa bao saba nikabahatika kupata shsh 240.000/=. Mapaka leo ninazungushwa tu na wakala kunilipa, niko Dodoma NIFANYEJE?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa wale wanaingia viwanjani, waliokua wanaona jinsi Maguri alikua akiikosesha mabao Simba, na sote tulikua tukimlaumu. Sidhani Ni kosa klabu kumwacha nchezaji ambae hafanyi vizuri, alafu maguri...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kocha wa Kilimanjaros stars amedai tatizo kubwa la timu yake kupoteza ni hujuma walizofanyiwa na Algeria moja wapo ni kuwepo kwa koki za maji uwanjani (pitch). Walifanya michezo hii kwenye...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Should Amani National Congress (ANC) leader Musalia Mudavadi clinch the presidency in 2007, filmmakers will have a reason to rejoice, if his recent pronouncements are anything to go by. Speaking...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuta MTU kapost kwenye wazo LA Leo kitaaa.... Unasema "Ni bora kuamini Mungu yupo usimkute kuliko kuamini hayupo ukamkuta".... Ni kijiwe cha michezo sana draft ..karata..bao... Na kuna...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni African derby LIGI KUU || TZ BARA || 2015/2016. Yanga Afrika Vs Toto Afrika. Mechi itakayopigwa uwanja wa taifa inatarajiwa kuanza majira ya 16:30 KIKOSI CHA YANGA LEO. 1. Ali Mustafa...
2 Reactions
87 Replies
12K Views
Ndugu wana JF ambao ni wapenzi wa timu ya Yanga mnaombwa kujitokeza katika kusaidia kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya mchakato mzima wa kuanzisha tovuti ya klabu yetu ya Yanga..Wazo la kuanzisha...
0 Reactions
56 Replies
26K Views
Niliweka Algeria win sportpesa and BOY am u waiting for that win God willing Tanzania imepata 6 yellow cards 1 red card And 5 goals to nil Waaaah!!! Aiseeeey Cape Verde v kenya 0-0 37'
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Mimi siku zote huwa nasema makocha wazalendo wa kitanzania uwezo wao huwa mdogo lakini huwa wanataka kulazimishia mambo makubwa matokeo yake ndo 7-0 Tanzania kama tungekuwa tumepiga hatua kisoka...
0 Reactions
114 Replies
10K Views
Wakuu,itakumbukwa kuwa TFF iliunda kamati kwa ajili ya ushindi wa TFF Mechi ya marudiano dhidi ya Algeria ikaahidi 500M kwa timu ikiwa ingeitoa Algeria. Yaani mechi moja 500M. Ikumbukwe kuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Meneja chapa (vileo kali) wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam kuhusiana na mashindano ya siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania ?Taifa Stars? leo usiku saa 1:15 kwa saa za Algeria, (sawa na saa 3:15 kwa saa za Afrika Mashariki) itashuka dimbani kuwakabili wenyeji Algeria katika mchezo wa...
0 Reactions
429 Replies
42K Views
Naona jamaa kafikisha ujumbe wa kweli kabisa, hata mimi naamini Samatta yuko vizuri kuzidi Depay
2 Reactions
79 Replies
12K Views
Kwa kawaida wachezaji wakiwa hawampendi kocha,hamasa ya uchezaji hupungua. Anapokuja kocha mpya,hata akiwa mchovu au wa kawaida,wachezaji hucheza kwa kujituma ili ku-mprove wrong aliyepita...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Neno moja tuu kwake, ukizingatia bado ni chipukizi. Me naanza, aache mpira wa Kihuni, amecheza utadhani yupo uwanja wa kaitaba usiokuwa na kamera.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana usiku timu yetu ya taifa kwa kitendo cha kuchapwa bao 7 kwa bila, bila shaka hii ni record mpya ambayo tumeiandika kwani toka miaka ya nyuma nimejua habari za soccer mpaka leo hii sijawahi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni kosa kubwa kuifunga Algeria na kuwakosesha nafasi ya kushiriki kombe la dunia 2018, Wamekuwa wakiiwakilisha vizuri Afrika katika mashindano hayo kwa kuwa wana timu nzuri. Nimeamua kuwaunga...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Isiwe shida Taifa stars kufungwa idadi hiyo huo ndio mpira,Algeria ni timu kubwa sana yenye wachezaji wote ma pro wanaocheza ligi mbalimbali za ulaya na america la msingi kwetu ni kutafuta...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom