Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo nahic nitafurahi kuangalia mechi kupitia TBC1. Nawapongeza kwa kutuletea mechi ambayo natarajia kumuona mchezaji mahiri Mbwana Samata. Kwa hili ahsante Tbc1. Tv nyingine ziongeze juhudi kutupa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo fainali ya kwanza itachezwa nchini algeria kabla ya marudiano wiki ijayo nchini congo drc . watanzania sammata na ulimwengu watakuwa wanatafuta kuandika historia ya wa kwanza kutwaa taji...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
Michuano ya Kombe la Shirikisho (AzamHD Federation Cup) inatarajiwa kuendelea leo katika viwanja vinne tofauti nchini, ambapo kila timu inahitaji kupata ushindi ili kusonga mbele katika mzunguko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria, Golden Eaglets chini ya miaka 17 imetwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa vijana. Nigeria iliyofunga Mali katika mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 huku...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
David Moyes has been sacked as manager of La Liga strugglers Real Sociedad a day short of his one-year anniversary at the Spanish club. The 52-year-old steered the Basque team to 12th spot last...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninashindwa kuelewa kwanini viongozi na wanachama wa Klabu ya Simba hawajaiona dosari ya Nembo ya klabu ya Simba kutokuwa Na Jina la nchi ya Tanzania.Nembo ni alama ya klabu na inatakiwa kuwe na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Watanzania wawili M.Samatta na T.Ulimwengu wanaochezea TP Mazembe jioni ya leo wataweka historia katika ulimwengu wa soka. Ni katika mchezo wa pili wa fainali kuwania kombe la ligi ya mabingwa...
0 Reactions
147 Replies
22K Views
Ibrahimu Ajibu "Mzee wa Ma Hat-Trick" is baack.. ndivyo waweza kusema.. na hii ni baada ya kuonesha man of the match performance katika mechi dhidi ya Majimaji ambapo Mnyama kashinda goli 6-1...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
YANGA SC ipo katika mazungumzo na klabu tofauti za Asia na Ulaya ambazo zinataka kununua wachezaji wake watatu, beki Mtogo Vincent Bossou, kiungo Mbrazil Andrey Coutinho na mshambuliaji Mzimbabwe...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hat trick zote Yanga na Azam, licha ya kuwa na mastraika hatari zimeshindwa kushuhudia nyota wake yeyote akifunga mabao matatu ?hat trick? katika mchezo mmoja. Nyota wa Simba, Hamis Kiiza ?Diego...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Baada ya timu ya Coastal Union kufanya vibaya katika michuano ya ligi kuu.. Kocha Mkuu wa timu hiyo Joseph Lazaro Leo amejiuzuru kuitumikia timu hiyo. Sababu alizotoa ni mwenendo mbaya wa timu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Standard Digital News : : GameYetu - Gor Mahia crowned 2015 KPL champions after beating Sony Sugar
0 Reactions
16 Replies
3K Views
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amezidi kugeuka lulu kwa timu za Ulaya baada ya matajiri wa Urusi, CSKA Moscow nao kuonyesha nia ya kumsajili katika dirisha dogo...
3 Reactions
84 Replies
37K Views
WASHIRIKI wa mdahalo wa MkikiMkiki 2015 unaofanyika kila Jumapili mchana na kurushwa na kurshwa na Kituo Cha Televisheni cha Star TV ukilenga kujua sera za vyama kwenye masuala mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
namshauri Maguri aende kati ya Mbeya City au Yanga sababu uwezo wake unaendana na mfumo wa timu hizo
0 Reactions
23 Replies
3K Views
SIMBA ikiwa chini ya kocha, Dylan Kerr, msimu huu imezifunga timu tatu ambazo ilishindwa kuzifunga katika misimu miwili iliyopita, lakini imebainika kuwa hata kocha huyo hana muda mrefu Msimbazi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea kesho kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali, ikiwa inaingia katika raundi ya tisa huku kila timu ikisaka ushindi wa pointi tatu muhimu...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Rigobert Song ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Chad. Song, mwenye umri wa miaka 39, aliteuliwa Jumatatu kumrithi Mfaransa Emmanuel...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Alright sports buffs and basketball aficionados in particular... Here we go again. A brand new season is underway. First game of the season Cleveland is at Chicago and the POTUS is in the house...
1 Reactions
0 Replies
745 Views
Timu ya Taifa Tanzania ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars) inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi Novemba 7, 2015 jijini Dar es salaam. Mchezo huo...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Back
Top Bottom