Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Na hizi ndo sababu; 1. Wachezaji kuikacha Timu Katika msimu wa 2013/14, Mbeya City ilikua miongoni mwa Timu zilizoonesha kandanda murua sana.. ikiwa ni msimu wake wa kwanza katika VPL. Kandanda...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Katika kuimarisha maandalizi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) kuelekea katika mashindano mbalimbali ikiwemo mechi mbili za ugenini na nyumbani dhidi ya Algeria, Rais wa TFF Jamal Malinzi ameunda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu karne hii mpya ianze, mnamo mwaka 2000, mmoja kati ya wachezaji bora kabisa toka nchini kwetu Tanzania [kama si bora kuliko wote].. niliobahatika kumshuhudia ni "Mtalamu" Haruna Moshi Boban...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
KIJIWE CHETU MKIMBIZI ALIYEGEUKA MFALME BARCA Huwa nina Kamsemo Kangu nasemaga ivi, "you can Find a Peace anywhere, but you can't find a love Everywhere" unaweza kukuta amani Popote Pale...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikipitia pitia kwa mitandao tofauti nikisoma habari kuhusu huyu wakili Corazon Kwamboka na jinsi waandishi tofauti wa blogs wana maoni kumhusu. Well, yaonekana kuwa Corazon Kwamboka...
0 Reactions
12 Replies
29K Views
Wakati fulani nikiwa mdogo baba yangu alirudi nyumbani na suruali nzuri sana ya dangrizi kama zawadi yangu katika sherehe yangu ya kuzaliwa zaidi ya miezi miwili mbele. Marufuku ilitoka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo uwanja wa Taifa kabla ya mechi ya Yanga na Mbeya city kulikuwa na mechi ya amani, ukiachilia mpira, ni mechi iliyokuwa inaburudisha kiana yake wakigombania Amani cup Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
There are so many benefits to trampolining; it’s a wonder not everybody is involved in bouncing back to health. Jesting aside it really is a great and fun way to get fit and it has lots of other...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Edi Gathegi lands role on NBC's ‘The Blacklist' as new villain Born in Eastlands, Nairobi, and raised in California, Gathegi has had an impressive acting career landing roles in X Men...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
This guy is still going strong,a true international dance hall artist
1 Reactions
0 Replies
2K Views
20.09.2015.. Taifa Stadium.. Kulikua na mechi ya kukata na shoka kati ya Simba S.C na Kagera Sugar. Japo Mnyama alitawala mechi vya kutosha.. Kulikua kuna "kiumbe" mmoja hivi akiisumbua vya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mshindi wa jumla wa shindano la Serengeti Masta kwa wakazi wa Arusha Laota Elias akiserebuka mziki mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla wa shindano la Serengeti Masta kwa mkoa wa Arusha wakati...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Takribani miaka miwili sana chama la wananchi bado tovuti yake imekwama, fanyeni kuirekebisha. Pia andikeni majina ya wachezaji kwenye jezi zenu.. Wapi Dr. Tiboroha?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
NDUGU WANACHAMA WAPENZI WA YANGA HONGEREN KWA USHINDI WA SIMBA..LABDA CHA KUONGEZA TU N KUHUSU WACHEZAJI.WA YANGA WANAOISALITI YANGA SIKU TUNACHEZA NA.SIMBA NIOMBE TU KAMA KOCHA UNAWEZA...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni baada ya kufariki mtafsiri maarufu wa mwanzo wa sinema anaeitwa DERICK MUKANDARA RUFUFU "rufufu"
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa tuliofuatilia sherehe za kumuaga rais anaemaliza muda wake mh Jk jana ktk sherehe zilizoandaliwa na Taswa mtakubaliana nami kua rais wetu huyu amekua tofauti sana na waliomtangulia ktk kupiga...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi matatu ya timu nane nane kwa mtindo wa nyumbani na ugenini. Mfumo huo wa makundi matatu umetokana na marekebisho ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kocha wa Mbeya City Juma Mwambusi yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Yanga ili kurithi nafasi ya kocha msaidizi iliyoachwa na Bonfasi Mkwasa alienda kuwa kocha wa taifa stars, tayari mkwasa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya kupokea tena kichapo kutoka kwa Southampton jana amesema hakuna jinsi atajiuzulu kuifundisha club hiyo maarufu iliyopo darajani Stamford. CNN
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Inaonekama Josee akishindwa leta results by Xmass Diego Simeone atachukua nafasi yake..kazi ni kwake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom