Fifa president Sepp Blatter is facing a 90-day provisional suspension.
Members of Fifa's ethics committee have recommended the sanction after the Swiss attorney general opened criminal...
Lionel Messi anaweza kuhukumiwa jela miezi 22 kwa kosa la kukwepa kodi ya pound milioni tatu na nusu.....
Lionel Messi is facing up to 22 months in jail if he is found guilty of defrauding the...
Mechi inatarajiwa kuanza saa 16:00 itarushwa live kupitia supersport 7 na ZBC, kikosi kitakachoanza dhidi ya Malawi leo
1.Ally mustapha 'barthez'
2.Shomari Kapombe
3.Haji Mwinyi
4.Kelvin Yondani...
TAARIFA YA MBEYA CITY FC KWA VYOMBO HABARI:
"Bodi ya klabu ya Mbeya City ilikutana tarehe 29.09.2015 kwa dharula kulijadili suala ambalo hivi sasa linaendelea kujadiliwa katika Umma wa...
Nyoso kafungiwa kwa kosa la "kumtomasa" sehemu za siri Maguli katika mechi ya Simba na Mbeya City.
Agrey kafungiwa kwa kosa la kumpiga "kiwiko" Okwi katika mechi kati ya Simba na Azam.
Source...
Baada ya mechi ya kwanza kuchezwa Dar es Salaam Oktoba 7 uwanja Taifa na Taifa stars kuibuka kidedea kwa mabao mawili bila majibu, leo ni hitimisho kwa mechi ya marudiano kutoka Malawi ambayo...
MWADUI FC ya Shinyanga imetwaa Ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza baada ya kuifunga African Sport ya Tanga bao 1-0 Uwanja wa Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana.
Bao la...
Beki Emiry Nimubona
atakuwa nje ya kikosi
chake cha Simba kwa wiki
nne.
Nimubona amevunjika
mmoja wa mfupa mdogo
wa mkono wake na sasa
amefungwa bandeji
ngumu maarufu POP.
Beki huyo raia...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,000,000), na kituo cha luninga cha Star Tv kurusha matangazo...
Wakenya Eliud Kipchoge na Gladys Cherono ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya Berlin Marathon yaliyofanyika leo huko Ujerumani.
Kipchoge ambaye pia ni bingwa wa mwaka huu wa mbio za london...
MAGUFULI CUP 2015
TIMU SHIRIKI
1. ABAJALO FC
2. ZAKHIEM FC
3. TUAMOYO FC
4. BURUDANI FC
5. FC KAUZU
6. GOMS UNITED
7. FRIENDS RANGER
8. FARU JEURI FC
RATIBA
9/10/2015 ABAJALO FC...
Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda.
Hayatou atachukua usukani kufuatia kusimamishwa...
The leadership wrangles at Kenyan Premier League giants AFC Leopards are fast turning into a national shame.
It is even worse and shameful that players are yet to be paid four days after a...
Hatimaye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limempatia mkataba wa miaka mitatu Kocha Mkwasa kuinoa Taifa Stars. Mkwasa atakuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars baada ya kuwa wa muda kwa miezi mitatu...
After both Sudan clubs managed to qualify for the CAF Champions League semi-finals, Sudanese football fans were dreaming of their country becoming the first-ever to provide both teams for a...
Kocha wa Simba Dylan Kerr Akimkabidhi Hamisi Kiiza Tunzo Zawadi ya Mchjezaji Bora wa Simba sport Club Mwezi September 2015
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu...
Kama mwanamichezo ningependa kutoa dukuduku langu ambalo linanikera hasa kwa club hii.
Nimekuwepo hapa tanga kwa mwezi mzima sasa na hua natembelea mazoezi ya timu mbalimbali pindi wakiwa hapa...
Another ‪#‎Kenyan‬ well on his way to take over Formula 1. ‪#‎JeremyWahome‬. Podium finish on the 2015 Asia Cup Series. Lewis Hamilton had better start...
Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka ya Afrika mashariki.
Chanzo: BBC news.
Jioni hii nikiwa naelekea nyumbani nikapita mitaa ya jangwani ili nitokee kigogo kukwepa foleni nilichokiona kimeniharibia siku yangu kabisa.
Katika mlango mkuu wa kioo wa kuingilia jengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.