Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Taarifa rasmi kutoka katika jiji la manchestet zina sema luisi -van- ghal huwa haandiki chochote isipokuwa anatiki mikeka yake.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Najua kuna namba tisa bora duniani wengi tu kwa sasa kama kina Vardy, Ibrahimovic, Benzema na wengine. Lakini kati ya hawa wawili nani zaidi....?
0 Reactions
54 Replies
12K Views
Arsene Wenger wants to sign Southampton's Victor Wanyama in the January transfer window and will test the Saints' resolve with a 15million bid. . The Kenyan midfielder has been a revelation since...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongera wazir wa michezo kwa kuirudisha timu ya Stand utd, chama la wana!! kwa viongozi na wamiliki halali wa timu. Baada ya udhamini wa Acacia iliibuka kamati ya uongozi illiyowekwa na mkuu wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilianza kuwa na wasiwasi siku nyingi lakini sasa nimejiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa Jerry Murro hastahili kushika nafasi aliyo nayo pale Yanga. Anaweza kuwa na elimu (knowledge) ya...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Jisomee hapa mwenyewe --------------------- BREAKING: Ben?tez set to be fired - reports - Managing Madrid ---------------------
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mchezaji machachari wa mancheater united Martial ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa watoto maarufu kama Golden Boy. Tuzo hii huchaguliwa na kura za waandishi wa habari za michezo barani ulaya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani hebu tupeni msaada sisi wa Mashabiki tunaoshabikia Man Utd na Simba kwa pamoja, hali zetu sio nzuri kila kukicha afadhali ya jana, tupeni ushauri ila sio wa kuhama.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Maafisa wawili wakuu zaidi katika usimamizi wa kandanda duniani rais Sepp Blatter na mwenyekiti wa shirikisho la soka barani ulaya UEFA Michel Platini, wamepigwa marufuku ya miaka 8 ya kutoshiriki...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Simulizi hizi zitaisha lini!!!!??????? Kila mchezaji bora alitaka kumnunua!!! Arsene Wenger has admitted he regrets not luring Raheem Sterling to Arsenal when the Manchester City winger was a...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
1 YOUNG AFRICANS SC 11 27 4 SIMBA SPORTS CLUB 10 22 5 STAND UNITED FC 11 19 8 TOTO AFRICANS SC 11 16 Kutoka uwanja wa Kirumba, Mwanza, Toto African watamkaribisha mnyama kutoka Msimbazi...
0 Reactions
82 Replies
11K Views
arsenal & manchester city (21-december 11:00pm) ==>ebu tabiri nani kuibuka kidedea?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni habari zinazotrend kwa sasa kwenye media kubwa kubwa England. Mkakati wa mmiliki wa club ya Chelsea ni kumchukua Guus Hiddink amalizie msimu, huku akiangalia uwezekano wa kumchukua Diego...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni kuwakumbusha tu barca wenzangu game ni leo hii jumapili mchana huu saa 7:30.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maneno haya (sijui kama yeye mwenyewe anakumbuka) aliyazungumza Shaffih Dauda January 2010 baada ya stars kushindwa kufuzu AFCON 2010 na World Cup mwaka huo chini ya maximo. Katika uchambuzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
tupeni updates....kila la heri majimaji (waterwater fc)
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakati club za Roma na Monaco zikiendelea kumpigia magoti Mou kutua kikosini kwao, habari zilizo chini ya kapeti ni kuwa Jose Mourinho kutua kwenye club ya Manchester United na Pep Guardiola...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwepo na baadhi ya wachezaji wa kigeni kujiona bora kuliko wengine sasa kwakitendo cha yanga kumsimamisha kazi huyo jamaa itakuwa fundisho
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom