Wakati nikiisoma taarifa ya yanga ya kuvunja mkataba na mchezaji huyu,sababu kubwa ni kua amekiuka baadhi ya vipengele vya mkataba wake hivyo kama club imemvumilia na imefika mwisho.
Sakata hili...
Angola: São Silvestre - Kenyan Alex Olepetir Wins
60th Edition
Luanda — The Kenyan racer Alex Olotopipe won Thursday the
60th edition of the Luanda yearend São Silvestre road race.
The runner who...
Mimi Ni mwanachama wa yanga naipongeza timu yangu kwakuchukua hatua dhidi ya wachezaji watovu wa nidham lkn kitendo cha kudai fidia nimepata shaka na viongoz wetu
Mashabiki wa Arsenal wamemiminika kwenye nyumba za ibada huko nchini Nigeria saa chache baada ya makundi ya UEFA kutoka na kujikuta wao wamepangwa na Fc Barcelona.
MAONI YANGU: Arsenal kuwatoa...
Hii ni hali ya kushangaza kwa shirikisho letu la mpira Tanzania, Timu za Simba na Azam hazikuwa na.michuano yoyote ya kimataifa wala kitaifa tofauti na ligi kuu ya vodacom lakini wanaviporo vya...
wachezaji wa stand united haruna chanongo na abuu ubwa wameenda mazembe kwa majaribio safari hiyo watakiwa waondoke watatu lakini mohamedi ibrahimu wa mtibwa simu yake haikupatikana alipotafutwa
Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Manchester City ya Uingereza Yaya Toure alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji watano waliokuwa wanawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika inayotolewa na...
wadau
Huyu Haji Manara ni zaidi ya msemaji
Jamaa yupo vizuri kwenye uchambuzi wa soka
Yupo vizuri kichwani
Na jamaa ni mfata principal
Angalia anaongea azam tv
Mchezaji matata wa timu ya taifa ya ivory coast Steve 34,ambaye alikuwa kwenye ligi ya bundasiliga amekutwa amefariki ndani ya mto ujerumani ,steve alipotea tangia Dec 12 mwaka Jana na mwili wake...
Wana wa lambalamba kule pande za chamanz nje kidogo ya jij la dar es salaam jana walipata pataxhika nguo chanika kwa ushind mwembamba wakiwa wenyej pale chamanz kwa ushind wa 1-0 goli likifungwa...
Ee bwana ma GT wenzangu mzuka!
Hii imenishangaza sana. Mshahara wa Cristiano Ronaldo mshambuliaji machachari wa Real Madrid kwa wiki ni mara mbili zaidi ya David Cameron waziri mkuu wa Uingereza...
Winga wa Azam,Farid Musa Maliki Shaa wiki ijayo atakwenda kufanya majaribio kwenye klabu ya Olimpija ljubljana inayoshiriki ligi kuu ya Slovenia.
Tumwombee dua aweze kufanikiwa.
Matokeo baada ya R"19"
◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆
EPL table
⇩ club | ☆ | Points ⇩
Arsenal ♢ 39 ♢ point
Leicester ♢ 39 ♢ point
Man City ♢ 36 ♢ point
Tottenham ♢ 35 ♢ point
C.Palace...
YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU
Ni umoja miongoni mwa wanachama na mashabiki wa timu ya
YANGA AFRICA SPORTS CLUB
wanaosaidiana katika shida na raha mbali mbali pamoja na kujenga...
Cha kufanya
1.fungua hiyo link
2.creat your duta(save hiyo namba itakayotokea baada ya kufungua link.
3.Tengeneza group la whatsapp
4.Add hiyo namba uliyosave kwenye group hilo.
5.Anza kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.