CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika.
"Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa...
Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC...
Namungo haibebeki ni inapigwa kama Ngoma tena nyumbani na team za daraja lake ikiwepo na team mpya ya Fountain Gate.
Hapa naona David ouma akipewa kazi faster na zahera kwenda mapumzikoni
KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1.
Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa...
Nyota imefubaa ghafla, kuna wahuni toka matawi mbalimbali ya Yanga wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi endapo atashika microphone kusema chochote.
PIA SOMA
- Kama kujiuzuru kwa Ali...
Ndugu wanahabari wenzangu, ni mimi tena Sheikh Sayville mwenye visima vya mafuta ya alizeti.
Baada ya kutafakari kwa kina na kusikia vilio na maombi ya wengi, nimeamua kwa utashi wa moyo wangu...
⚽️ Kagera Sugar Vs Young Africans SC
📆 02.02.2024
🏟 Kaitaba
🕖 10:00 Jioni
Mungu ibariki Yanga SC
Kikosi cha Yanga SC
Dakika ya 1
Kagera Sugar 0-0 Yanga.
Dakika ya 17
Kagera Sugar 0-0 Yanga...
Mhadhiri na mhutubu maarufu Dr Sulle amedai kuwa maneno ya aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya @simbasctanzania Haji Manara yalikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo na wala sio kuwa...
Group A: Switzerland, Turkey, Portugal, Czech Republic
Group B: Austria, Poland, Germany, Croatia
Group C: Holland, France, Romania, Italy
Group D: Greece, Russia, Spain, Sweden
Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni hesabu tu za MAGAZIJUTO (BDMAS) na mlinganyo (algebra); Kama kwa APR ni hivi kwa Pyramids na Mayele itakuwaje?. Ukishalipata jibu lake unafuata ujivunjaji...
Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso
Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa.
Najiuliza
Je nin kimetokea?
Huku Simba Queens wakiendeleza mpira wao wa papatu papatu hadi kufikia dakika ya 80 ya mchezo bado kawempe Muslim wameendelea kushika uongozi wa kuwania nafasi ya tatu.
Simba Queens ambayo...
[emoji599] BREAKING NEWS: Shirikisho la Mpira Barani Afrika limetoa Orodha ya vilabu vitakavyoshiriki Michuano ya African Football League itakayopigwa mwakani nchini Afrika kusini kuanzia Januari...
Hatuwezi kushangaa uwekezaji wa Azam ila tutashangzwa na matokeo ya uwekezaji, ikiwa unawekeza ili kuleta ushindani lakini hakuna mafanikio katika mipango yenu mujue fika kuwa there's reason...
... [emoji599] 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗
Wachezaji wafuatao wa klabu za Simba na Yanga wameitwa kwenye timu zao za Taifa.
Young Africans Sports Club :
➜ Djigui Diarra [emoji1159]
➜ Aboutwalib Mshery...
Yanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja .
Waige kwa Ac Milan na Inter Milan , Birmingham city na Coventry, Lazio na Roma na vilabu vingine...
Ratiba ya Raundi ya Tatu ya Carabao Cup 2024/25 imepangwa ikishirikisha Timu 32, timu kubwa za Premier League zimepangiwa wapinzani kutoka katika madaraja ya chini ikiwemo Manchester United...
Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi.
Azam watanza kesho kucheza Ligi...
Posted Date::11/13/2007
Soka:Kombe la Dunia Afrika Kusini katika hatihati
LONDON, Uingereza
Mwananchi
NDOTO ya Kombe la Dunia kufanyika Afrika kwa mara ya kwanza mwaka 2010 imeanza kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.