Unakumbuka mechi ya kufuzu kombe la dunia 2012 kati ya Ufaransa na Ireland kituko alichofanya Thierry Henry?? Alifunga goli na mkono lililoipeleka nchi yake Afrika Kusini.
Sasa Mkuu wa FA ya...
Kufuatia mkutano na waandishi wa habari jana,Mkuu wa kitengo cha habari cha simba sports club,Haji manara kutawaliwa na jazba na hasira,na kutoa majibu ya hovyo kwa waandishi hao,kitendo hicho...
kuna habari mesi alitaka mkataba wa miaka miwili simba wakaatanda mkataba akasaini wa miaka hiyo 2.
khafla simba wakamwambia saini imekosewa wakampa karatasi nyingine akasaini ile karatasi...
Katika viwango vipya vya soka vilivyotolewa mwezi huu na FIFA,Tanzania imeporomoka kwa nafasi 20. Imetoka nafasi ya 107 hadi 127. Katíka top three Argentina imeteremka toka nafasi ya 2 hadi ya 3...
fifa leo wametoa ranking ya mataifa mbalimbali huku germany ikiendelea kuongoza duniani huku belgium ikiweka record ya kushika nafasi ya 2 kwa mara ya kwanza kabisa.
Tanzania imeporomoka kwa kasi...
Bodi ya premier league ya UK imetoa taarifa juu ya mgawanyo wa mapato kwa timu 20 zilishoshiriki ligi hiyo kwa msimu wa 2014/2015. Jumla ya £1.6 bn ziligawanywa kwa timu hizo ambapo Chelsea ndiyo...
Soka la bongo sasa linaelekea kusikoeleweka baada ya kuporomoka nafasi ishirini kutoka 107 hadi 127.
The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoondoka leo jioni kuelekea Addis Ababa nchini Ethiopia kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa...
Hatimaye amakubali yaishe.. anatangaza sasa hivi.... Chezea makaburu wa Ulay.Africa tumeisha.. Wenye mpira wao wamembana.
Sepp Blatter says he will resign as president of football's governing...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kesho jumatano linatarajia kuzindua jezi mpya za timu za Taifa Tanzania, zitakazokuwa zikitumika katika michuano mbalimbali, uzinduzi huo utakafanyika...
Rafa Benitez Press Conference # RM 2015 "I'm happy to come to a big club and will give all my best to help the club " "I must confess giving my best doesn't mean I will be winning trophies every...
Wadau na wapenzi wa soka mnamuongeleaje huyu jamaa? Kwa upande wangu simuamini sana labda wajuzi wa mambo mnaweza kunifungua kidogo katika hili nawasilisha na karibuni sana
Qatar has told England's Football Association (FA) to focus on developing a team to win the 2022 World Cup instead of concerning itself over which country will host the event.
Immediately after...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za Taifa katika michuano mbali mbali itakayokua inazikabili.
Uzinduzi huo wa...
Shirikisho la mpira barani Afrika CAF limewateua watanzania saba kuwa wajumbe wa kamati zake mbali mbali kwa kwa kipindi cha miaka miwili 2015-2017.
Walioteuliwa pamoja na kamati zao katika...
Rafael Benitez will be presented as Real Madrid boss on a three-year deal.
The 55-year-old ex-Liverpool boss ended a two-year stint with Napoli following a 4-2 home defeat by Lazio on Sunday.
"I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.