Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ingawa Rais wa FIFA, Sepp Blatter kajiuzulu, lakini anauacha mfumo alioutengeneza kwa kipindi chake cha uongozi uliojaa rushwa mfano rushwa ya Quatar kuandaa kombe la dunia 2022, rushwa ya maafisa...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Rais wa FIFA amejiuzulu na maafisa wa FBI wamezingira ofisi yake na nyumbani kwake siku 4 tu baada ya Blater kuchaguliwa kuwa rais. Heko president Blatter ni fisadi.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kupitia Twitter rais wa TFF, Jamal Malinzi amedai kuwa alikwenda Zurich kusimamia maslahi ya mpira ya taifa letu, si kuchagua imamu wala baba paroko. Haya yalikuwa mawazo yake kuhusu Uchaguzi...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Inachekesha
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Hiyo saa ya RAFAEL NADAL ni aina ya RM27-02 iliyotengenezwa na co ya LUXURY SWISS na thamani yake ni £510,000=1.8Billion. Na huyu ni RAMADHAN SINGANO "MESSI" wa Simba akiwa na familia yake...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Former Manchester United defender Rio Ferdinand has announced his retirement from playing football at the age of 36. Ferdinand spent 12 years at Old Trafford where he became one of the most...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF! Naomba kufahamishwa lipi kömbe la thamani kubwa barani ulaya; baada ya timu ya arsenal kuchukua FA nimesikia wengi wakisema eti kachukua kikombe cha uji, naomba kuwasilisha
0 Reactions
15 Replies
31K Views
FIFA's presidential election will take place in Zurich on Friday with Sepp Blatter, who is bidding for a fifth term in office, going up against Prince Ali Bin Al Hussein of Jordan. The pair will...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Psg
nitajie.kikosi cha.PSG
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Kesho ni mpambano wa mchezaji tenis namba moja dhidi ya Rafael Nadal katika robo fainali ya French open championship. Je una maoni gani katika mchezo huo?
0 Reactions
0 Replies
628 Views
“Nimekuja huku kuhamia rasmi sasa, tunakwenda kuangalia nyumba mimi na bibie (Radhia). Unajua mambo ya nyumba ni ya akina mama. Sasa yeye akisema ameipenda nyumba, nawaambia safi...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Kufuatia kashfa ya rushwa katika shirikisho la Kandanda Duniani (Fifa), Ijumaa wiki hii shirikisho hilo litamchagua rais mpya kati ya washindani wawili. Sepp Blatter ambaye anawania muhula wa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Wanabodi: Kuna tetesi kwambaYanga wamempiga bei Pah Sherman kwa dau la dollar 100,000. Habari zinabainisha kwamba Sherman tayari yuko ndani ya Madagascar kwa sasa ktk kukamilisha baadhi ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna habari kuwa cecafa hupata dola laki mbili kila mwaka kutoka fifa pesa hizo zipo wapi hatuoni mashindano ya vijana na hata hayo mashindano ya kagame cup nchi inayoandaa mashindano hutafuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiwa kama mshabiki wa YANGA na unahitaji kuwa na kadi ya uwanachama tunakualika siku ya jumapili pale travetain magomeni saa 6:00
0 Reactions
2 Replies
41K Views
Ukiwa binadamu shukuru mungu amekujalia akili fikra busara na uvumilivu. Kama wewe binadamu tujifunze tabia kama watu hawakutaki kwenye uongozi ni bora ukachia madaraka, kwani waliokuchagua na hao...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Wale tuliokuwa tunawaita Vibonde wamechukua medali ya FEDHA kwa kushika nafasi ya tatu. Kama ninavyosema,wenzetu wanafanya mikakati ya muda mrefu sie tunafanya Porojo za muda mrefu kwenye soka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo inadhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo inaingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani kujiandaa na mchezo dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Malimi Busungu akisaini miaka miwili kukipiga Jangwani. ==================== ==================== Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA SC imeipa pigo lingine Simba SC, baada ya kufanikiwa...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Zifuatazo ni silaha zilizotua Msimbazi; 1. Peter Mwalyanzi Kiungo fundi toka Mbeya City, shughuli yake Kaseke anaifahamu, mana alimsihi sana wasiende timu moja kwa kuwa benchi lingemhusu. 2...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Back
Top Bottom