Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yule mchezaji wa Jana Carlos Bacca alowapa ubingwa Sevilla, miaka nane ilopita alikuwa Mvuvi na kondakta wakati huohuo anapigana kucheza soka. Malipo yake anayapata akiwa anaelekea miaka 30 sasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana familia ya mpira wenzangu. Tumeongea mengi na tumesoma mengi kuhusu kukua kwa mpira wetu Tanzania. Binafsi naona wanachi wengi tunakosoa kuliko kutoa ushauri wa nini kifanyike...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
m the section America does not even like football, or so many people think. Why is it leading the charge against alleged Fifa corruption? At dawn, Swiss police rounded up seven Fifa officials at...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Kama ilivyo kawaida yake, Joseph Blatter, Rais wa FIFA amekuwa bingwa wa fitina za Uchaguzi na kufanikiwa mara zote alizogombea hapo kabla kama ilivyokuwa uchaguzi uliopita alipofanikiwa kumzuia...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Wakati Arsenal walidhani wapo peke yao kwenye vita ya kumuwania mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema, Manchester United wamebisha hodi. Arsenal waliomkosa Benzema (27) siku zilizopita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Plz naomba mnijuze,eti ni kweli arturo vidal na jackson martinez wamesha sign pree contract kwa klabu ya arsenal???? Nisaidieni mi sijui
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wachezaji hao sasa ni mali ya YANGA na wate wamemwaga wino kwa mkataba wa miaka 2.Niliwahi kutoa taarifa za Chanongo hapa takribani wiki moja iliyopita but nilikosea aka yake nikidhani ni Messi...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Yanga FC imeiomba TFF kuiruhusu kusajiri wachezaji 8 wa kigeni ili iweze kuiwakirisha vema Tanzania katika michuano ya kimataifa. Yanga wameiomba TFF iwakubalie ombi lao maana tayari ina...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika -CAF leo hii limeipa Tanzania uenyeji wa fainali za michuano ya Afrika ya vijana umri chini ya miaka 17 mwaka 2019. Uenyeji huu ni hatua muhimu sana kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuingia kambini kesho jumatano katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri kuwania...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Maoni yenu jamani. Nooj kisha onyesha failure. Kwa nn tff wanamkumbatia????? Kuna nini hasakipya atacho fanya zaidi ya hiki alichoonyesha??.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naibu waziri wa habari, utamaduni, michezo na vijana amesema amesikiliza vilio mbalimbali vya wadau wa soka kuhusu kiwango kilichoonyeshwa na Stars kwenye mashindano ya COSAFA na kuongeza kuwa ni...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Baada ya mchakamchaka mrefu na mgumu wa Ligi Kuu nyingi za Ulaya zinazofuatiliwa zaidi na Wanaafrika Mashariki, naomba kila mmoja apite hapa tupongezane Kama umepoteza SIO MBAYA, Ngoma bado...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nadhani kosa lilifanyika hii timu yetu ikashuka kawaida tu pale JKN airport, serikali kupitia wizara husika wangeandaa ka adhabu kadogo just kuwaamsha wajue kua wanapotumia pesa za walalahoi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo jumapili tarehe 24, Mei 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume. Kamati ya Utendaji imepitia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa kuzingatia matokeo mabovu ya timu yetu ya soka ya taifa ni aibu sasa kuendelea kuiita "TAIFA STARS". Nashauri kabla ya kuanza kubadiri benchi la ufundi la timu hiyo ni bora kulibadiri jina na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tujichunguze wapi tumekosea kabla aibu kubwa haijatokea kuanzia mwezi wa6. Tusipokuwa makini Kundi tulilopangiwa tutagawa point zote.
0 Reactions
3 Replies
801 Views
NIONAVYO MIMI KWA RONADINHO, SITAKI KUIDANGANYA NAFSI YANGU. Nimebahatika kumuona Zidane akiwa kwenye ubora wake,Thierry Henry,Didier Drogba,Raul,Toti,Klose n.k lakini nafsi yangu bado imekoshwa...
16 Reactions
261 Replies
34K Views
Wadau wa EPL kwa msimu mzima ambao unaelekea siku yake ya mwisho Leo What is your dream team of season?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na matokeo mabaya ya timu yetu ya Taifa kila mtu ataje kikosi ili kumsaidia kocha atakaekuja. Changu.Munishi, kessy, shibalala, Morris, canavaro, mkude, msuva, sureboy, samatta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom