Hukumu ya Mart Nooij na Taifa Stars kuanza leo;
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" leo usiku itatupa karata yake ya kwanza dhidi ya Swaziland katika michezo ya mashindano ya COSAFA.
Taifa...
Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.
Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake...
Liverpool wanakabiliwa na mtihani mzito wa kumbakisha Raheem Sterling.
Sterling alimwambia Rodgers kuwa anataka kuondoka Anfield.
Amekubali kufanya mazungumzo ya hatua ya mwisho na...
Kuna wadau wengi wamejitokeza siku hizi na kujiita wachambuzi wa soka nchini, ila ukipima uelewa wao unagundua kwamba uwezo wao mdogo afu hawajiongezi ili kutoka na uchanganuzi mzuri, natoa mfano...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepoteza mchezo wake wa kwanza wa michuano ya COSAFA Castel Cup dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, baada ya kufungwa bao 1- 0 mchezo uliochezwa katika...
Wakati watani zao Yanga afrika jana wakifanya kufuru ya kuwatandika ruvu shooting ya pwani goli 5-0, Leo timu ya simba sc itakuwa dimbani uwanja wa taifa kumenyana na timu kutoka kusini mwa...
kama kweli tff inataka ligi iwe bora msimu ujao itoe agizo leo viwanja vitengenezwe sanjari ya vyumba vya kupumzikia timu na vikaguliwe mara kwa mara sio mnaksa ofisini mkila viyoyozi na kama...
Alikuwa anachezea yanga miaka ya 1975-80 akitokea Tumbaku yaMorogoro,sijaona mchezaji mahili kama yeye , hajawahi kutokea, alikuwa na dribblingza kipekee , alikuwa anapendeza kumwangalia. Ile...
Jamani sijawahi kuona timu yetu ya Tanzania(Taifa stars) kuonyesha kiwango kibovu kama hiki. Hivi hatuna wachezaji wazuri au kocha kukariri wachezaji. Ukweli Swaziland(FIFA raking 175) kutuchezea...
Salam waungwana wa JF, tukumbushane movie kali, mimi my favorite movies upande wa action ni
-lock, stock and two gun barrel, snatch, killer elite, revolver
-man on fire, the equalizer, Safe...
SIMBA imeamua kufanya mabadiliko kwa kumtwaa kocha Kim Polusen raia wa Denmark katika nafasi ya Mzambia, Patrick Phiri.Simba imeingia kwenye harakati za kumngoa Phiri ambaye ameiongoza Simba...
Mourinho amethibitishia umma kwa kukosa mpinzani na kuwa na uzoefu wa na epl.. Taji la tatu la epl anaipa chelsea mikononi mwake...
Wapinzani wetu mna lipi la kutupondea?...
Naomba niweke wazi kabisaaa.....mm ni shabiki wa Arsenal tena 'by birth'.
Game ya leo tupia utabiri wako hapa kwa kuangalia vikosi hivi hapa chini:
Man United:
United XI: De Gea, Valencia...
Wengi wanauliza nusu fainali za mashandano haya itakuwaje, kwa hiyo msikose kufuatilia wakati Juventus, Real Madrid CF, FC Barcelona and FC Bayern München will comprise the UEFA Champions League...
Badshah Pehalwan Khan, a 21-year-old wrestler of Pakistani origin is looking forward to make his WWE debut. Currently, residing in Paris, France. If he is selected and goes through WWE Tough...
This is how China trains the kids and shape them to be the future Olympians. A recent article published by Daily Mail showed the brutal ways of training kids in China. Here are a few images from...
ni mojawapo ya wachezaji ambao wanastahili sifa za pongezi, ikiwa ameitimisha mechi yake ya mwisho mda mfupi uliopita ambapo liverpool wamefungwa na crystal palace 3-1 haijarishi! Steve gerrad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.