Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kikosi Changu Cha Timu Ya Wachezaji Wangu Bora Wa Ligi Kuu au Vodacom Ni Hiki Kifuatacho : Ivo Mapunda Ramazan Kessy Mohamed Hussein Hassan Isihaka Juurko Murshid Jonas Mkude Awadh Juma Said...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
baada ya kusikia cosafa hayamo kwenye ratiba ya fifa nikajaribu kupitia mtandao wa fifa kuona je cecafa imo kwenye ratiba ya fifa? nimekuta hakuna. kwa hiyo inavyosemwa cecafa mashindano ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kazi yao siyo ku(ji)piga chenga na kufanya madoido yasiyo na tija kama ya Ronaldinho Gaucho. Wala kazi yao siyo kutoka nduki kama Thiery Henry Mabio. Hawa kazi yao ni moja tu - kupiga mabao. Ndiyo...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mchezaji butu wa Simba sc aliye sajiliwa katika dirisha la usajili lililopita ametamatisha mkataba wake na club hiyo baada ya mambo kuwa magumu mno. Katika account yake ya twitter ameandika ...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndanda VS Yanga-Nangwanda Mtwara Azam fc VS Mgambo JKT-Chamanzi Comprex Simba VS JKT Ruvu-Uwanja wa Taifa Standa United VS Ruvu shooting-Kambarage Shinyanga Kagera suger vs Prisons Game zote...
2 Reactions
117 Replies
16K Views
Hakika jana yaliyojiri ktk kufunga pazia ya ligi yanauzunisha sana kwa soka letu, bila kupindisha maneno ktk mechi ya JKT Ruvu na Stand United kuna mambo ya rushwa yatakuwa yanausika kuibeba...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
kwenye blog ya salehjembe inasema inafanyika hapa nchini. wale waliotukanwa na kufedhuliwa na musonye Yanga sijui watakubali au watakataa
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Here is forbes list of most valuable football clubs 10. AC Milan 9. Juventus 8. Liverpool 7. Arsenal 6. Chelsea 5. Manchester City 4. Bayern Munich 3. Manchester United 2. Barcelona 1...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Timu ya Stand Utd ya mkoani Shinyanga iko katika hatari ya kushuka daraja ikiwa na point 28. Na hii ni baada ya kupoteza mechi zke Tatu za ugenini za hivi karibuni. Stand Utd kama timu zingine...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Nitoe pongezi kwa team ya Yanga, Azam na hata Simba kwa kushika nafasi walizoshika katika ligi na pia team nyingne zilizofanikiwa kuendelea na ligi mwakani. Kwa tema zilizoshuka nizipe pole ila...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei. Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu. Mwenye...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Miye namkumbuka Stanley Mabesi, Makoye Isangura, Michael Yombayomba, Ally Matumla huyu alimkalisha mtu Zambia huko miaka ya 90 nusu amuondoe duniani..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Tanzania ni kichwa cha mwehu". Ndivyo tunavyotafsirika katika medani ya mpira wa miguu. Sibezi jitihada zinazofanywa na TFF kunusuru hali hiyo ya soka nchini. Lakini yote hayo ni sawa na kupigana...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Jaman naomba kujuzwa matokeo lig kuu england leo
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Jerry Muro kwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
KLABU ya Simba imeanza kupukutishwa fedha zake za mapato baada ya kukatwa Sh3 milioni katika pambano lao na Azam kwa ajili ya kukusanya fedha za kumlipa winga wake, Haruna Chanongo, anayecheza kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Si vilabu wala timu ya taifa,kila viongozi wanaokuja hamna mabadiliko,tunatamani tufike mbali kimataifa ila tunaishia hatua za awali. Viongozi wana visingizo kila siku bila bla bla. to hell...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lina ukweli wowote hili? Wakati tunaelekea katika game za mwisho-mwisho za kumaliza msimu wa ligi kuu Tanzania Bara (Vodacom premier league). Leo tena katika uwanja wa taifa kutakuwa na mpambano...
0 Reactions
418 Replies
41K Views
Find attached documents of Regional Champions League (RCL) set to kick-off tomorrow 9th May in three stations of Lindi, Manyara and Sumbawanga.
0 Reactions
4 Replies
962 Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salaam za pole kwa wakazi wa Dar es salaam na hasa wale walioathirika na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom