Confirmed news this morning by EFM that Simon MSUVA is in SA for trials, to follow Nonda Shabaan's path?
Msuva ameondoka leo alfajiri lakini uongozi wa Yanga umelalamika kutokana na mchezaji huyo...
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam...
Kwa mbwembwe nyingi Man U wametangaza kumalizana na PSV kimalipo kuhusu Memphis Depay na kwamba winga huyo atakipiga Oldtrafford msimu utakaoanza , nauliza kwani huyu Memphis Depay ni nani? Ana...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewaagiza wasimamizi wa vituo vya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuhakikisha sheria na taratibu zote za mechi zinafuatwa.
Ligi Kuu...
Leo tar.6/5/2015,saa 7:30pm ndo mwisho wa kifurushi chenu cha undugu na yanga cha masaa 24 mlichojiunga jana saa 7:30,Baada ya hapo Tumewarudisha kwa ndugu zenu simba ili muendeleze undugu wenu...
Huyu jamaa kiukweli anaipenda sana yanga, lakini viongozi wa yanga hawakuona umuhimu wa kumthamini wakati akiwapigia magoti wamlipie deni lake crdb bank.
sasa kagoma kusain mkataba mpya na ndani...
Ligi kuu ya Uhispania La Liga imepigwa marufuku.
Hatua hii inafuatia mtafaruku baina ya shirikisho la ligi kuu la Uhispania na serikali ya taifa kuhusiana na ugavi wa mapato ya haki miliki ya...
Nawapongeza watani kwa kuchukua ndoo mwaka huu
Mmejitahidi sana kucheza mpira na kutumia wallet kununua mechi
Ila niwakumbushe tu kuwa nyie ni wa "HAPAHAPA" tu...Huko mnaenda kupoteza hela za...
HAJI MANARA.
"Watanzania wameona kiwango cha Yanga
walichoonesha Tunisia ni kiwango cha hali ya juu
sana,kwa kiwango kile sioni sababu ya kufungwa
na Azam ambayo ni timu mbovu ambayo sisi...
Ki ukweli sina hofu kabisa na hawa wachezaji wa Bayern hofu nilionayo ni ukuta wetu nyuma pamoja na kocha wetu wa zamani aliekulia ktk academy yetu,akacheza kuanzia timu za chini hadi kupandishwa...
Muda si mrefu pambano la ngumi kati ya Flod Mayweather vs Manny Pacquiao limekwisha na mayweather kutawazwa mshindi. Kwenye vijiwe vingi watu wanasema mmarekani kabebwa. Wataalamu wa mchezo huu...
Baada ya kuwaangalia Neymar Jr na Messi nakubali wazungu hawakosei kutuchagulia wachezaji bora wa dunia.Hawa jamaa wabatisha ila wanachagua warembo au sexiest woman duniani hapa wanatuongopea huku...
A Ghanaian boxer, Braimah Isaac Kamoko also known as Bukom Bukom has said he wants to have a match with Floyd Mayweather. Bukom is also an undefeated champion who won all his 27 fights.
The...
Nimeshangaa kuona huyu ndugu yetu ktk pambano la mei2 amepigana kwa kujihami na muda wote alikua ana kimbia kimbia tu na kuegemea kamba!lakini mwishoni eti kashinda yeye!yaani kama ile mechi ya...
Hii ndio siku iliyotabiriwa ambapo mashabiki wote wa simba leo wanaishangilia Yanga na wanakili kuwa hapa bongo hakuna timu ya kumfunga Yanga katika mazingira ya kawaida.
Hongereni mashabiki...
tajiri wa kwanza afrika, aliko dangote, amekiri kuwa bado ana mpango wa kuinunua club ya arsenal licha ya kushindwa kufanya hivyo mwaka 2010.
dangote mwenye utajiri wa dola bilioni 15.7...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu DunianI - FIFA, Joseph Blatter ametuma salamau za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi kufuatia klabu ya Young Africans...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.