Amefunga hat-trick ndani ya dakika 2 na sekunde 56 kwenye mechi ya Southampton na astoni villa
Other fastest-ever hat-tricks (highlighted in red for English premier League)
• Tommy Ross...
lkiwa wamebakiza mechi nne tu,mbili za ligi na wanatakiwa washinde moja ili wawe mabingwa wa la liga,moja na atletico club fainal ya kombe la mfalme na hii ya tarehe sita mwez ujao fainali ya...
Club ya Free State inayoshikilia nafasi ya tisa ktk ligi ya nchini Afrika Kusini tayari imemsajili Mrisho Khalfani Ngassa kwa mkataba wa miaka minne kkt kuitumikia timu hiyo.
Akiongea baada ya...
Kuna habari kuwa kombe la Kagame Yanga hatoshiriki.
Madai kwa namna moja mwaka jana aliwakataa yanga kutoshiriki baada ya hapo alitoa maneno makali sana na kuifedhuri yeye musonye anafikiri yanga...
Ukiangalia takwimu Morinho amebena ubingwa wa epl zikiwa zimesalia mechi tatu, pili ametoa mchezaji bora wa mwaka kwa mujibu wa PFA, na pia timu yake Imetoa wachezaji sita wa msimu. Inakuaje kwa...
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu kuubwa baada ya kufaulu majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini.
Winga...
The former Barcelona boss insists the Argentine is the greatest player the sport has ever seen after he helped to eliminate Bayern Munich from the Champions League
Pep Guardiola says Lionel...
Pata matokeo, msimamo na taarifa zote kuhusu ligi na timu za ligi kuu bara (Vodacom Premier League) hapa http://play.google.com/store/apps/details?id=com.soka.soka
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa...
Manchester United has reported a loss for the first three months of the year, hit by a decline in broadcasting and matchday revenue.
It lost £2.9m between January and March. That compares with an...
Nasema hivyo itakuwaje muandae Kagame Cup aka bonanza la Musonye ilihali muandaaji atafute wadhamini mnashindwa kutafuta watu wa kuwasaidia kulipa ushuru?
Kwanza huo uwanja wa kaitaba ni uwanja...
Hii tie itaamuliwa na hao watu wawili ambao ndio go-to men wa timu zao. Wanacheza role moja, majukumu yao yanafanana, na wana vitu vingi vinaendana; ukizungumzia utulivu, umakini, ufundi...
UKISTAAJABU Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG),Marco Verratti kukiri kuwa yeye ni mwanamke.
Hiyo ni...
Ule mtafaruku kati ya Shirikisho la ligi Uhispania na serikali kuhusu ugavi wa mapato ya hati miliki ya kurusha matangazo umepelekea La liga kupigwa marufuku kuanzia tarehe 16/05. Tujiandae...
Hawa jamaa wana viwanja bora,pesa nyingi,mashindano mengi ya ndani yenye udhamini wenye pesa nyingi lakini virabu vyao vinaonekana havifanyi vizuri kimataifa...wanaonekana kuwa "wamchangani"
Bavaria au Bayern Munich kutoka ktk mji wa Munich nchini Ujerumani leo wanawakaribisha Barcelona ktk dimba la Alianz Arena ktk mechi ya marudiano hatua ya Nusu Fainali ya klabu bingwa barani...
Habari wakuu,kama kuna mtu anajua sehemu
wanayofundisha martial arts nzuri ila isiwe
SHOTOKAN either TAE KWON DO,JEET KUAN DO,
TAI CHI au mwingine wowote naomba ani pm please!
shukrani
Mwenyekiti wa timu Ya Stand Utd ametangaza kumshitaki msemaji wa Ruvu Shooting Masau Bwire kwenye kamati Ya nidhamu na uongozi Ya Ligi ,kutokana na maneno Ya chuki, na udhalilishaji dhidi Ya Stand...
Itatuchukua mda sana Tanzania kubadilika na kuendeleza mpira kiukweli na sijui ni ubabaishaji gani upo katika hizi timu mapacha maana amani iliopo Yanga ninahakika haitadumu Itahamia kwa mtani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.