ADAM NDITI: MTANZANIA ANAYEKIPIGA
Mchezaji wa Chelsea, Adam Nditi akiwa uwanjani na timu yake wakati wa mechi ya Kombe la FA kwa vijana kati ya Chelsea na Arsenal mchezo uliopigwa katika uwanja...
kuna mtangazaji mmoja wa azamtv anayetangaza mapinduzi cup anaitwa MUWA muwa wa kutafuna au ndio ukoo jana alinifurahisha sana alikuwa anaikandia yanga sijui ndio alitumwa au ndio kujipendekeza...
Ni katika mechi ya Yanga na Azam jana pale John Boko alipoingia na mpira wake wa kwanza kuugusa alipiga kichwa na kuwa bao la kusawazisha kwa Azam. Kilichonifadhaisha ni kumuona alivoshangilia...
Napenda kutoa masikitiko yangu kwa uongozi wa timu yangu ya Young Africans Sports Club (Timu ya Wananchi) kwa jinsi ulivyotelekeza wavuti ya klabu. Kwa sekretarieti iliyopita tulizoea kupata...
Hii ni miradi michafi zaidi ya pesa za escrow,,bora zile zilitakatishwa
tff msikubali club kuanza kubadilisha makocha kama choo,,kuna miradi inaemdelwea katiyao na...
cc aveva
pesa za okwi toka ugaibuni zinakaribia kuja kumezuka kundi kadhaa kuanza kupqnga matumizi yao machafu
mh aveva kama utakosea hili watu wakajilipa fadhila zq pesa walizotoa kuingia...
Timu ya simba ya dar es salaam imeuanza mwaka 2015 vibaya baada ya kukubali kichapo cha goli 1-0 dhidi ya mtibwa suger ya morogoro kwenye mashindano ya mapinduzi yanayofanyika visiwani zanzibar...
Chama cha soka cha Hispania (LFP) kimetangaza kitampa Lionel Messi tuzo ya heshima kwa kuvunja rekodi ya ufungaji bora wa la liga kwa muda wote.Messi amevunja Rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na...
January 2, 2015
By James Bakama
CECAFA vice president Lawrence Mulindwa has welcomed the idea of Azam TVs sponsorship of the Uganda Premier League.
Mulindwa (inset), who doubles as FUFA...
BREAKING NEWS:
LIVERPOOL YATHIBITISHA STEVEN GERRARD KUONDOKA WAKATI WA KIANGAZI (BAADA YA MSIMU HUU):
Liverpool wamesema kuwa Steven Gerrard ataondoka timu hiyo baada ya msimu huu kuisha.
Hivi...
KLABU ya Simba imeingia mkataba na kampuni ya uchoraji ramani ya Envirolink ili iweze kuwapatia michoro ya hosteli na namna ya kuendeleza mradi wa Bunju ambao utaigharimu Simba zaidi ya Sh 2.5...
leo nimefurahishwa sana na timu ya chelsea kuanza mwaka kwa style ya aina yake, hii inatabiri mwisho wake utakavyokuwa kama ilivyo imani ya wengi, tunawatakia kila la kheri katika kuitazama UEFA...
Ni kama epsodes sasa.
Baada ya Yanga sasa ni Simba,Phiri na bechi lake lote wametimliwa Simba na kesho atapewa barua na haki zake za msingi zitafuatia.
MSERBIA GORAN ambaye alishawahi...
Mashindano ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanawake (Taifa Cup Wanawake) yanazinduliwa rasmi Januari Mosi mwakani kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mechi kati ya wenyeji Mwanza na...
leo nimefurahishwa sana na timu ya chelsea kuanza mwaka kwa style ya aina yake, hii inatabiri mwisho wake utakavyokuwa kama ilivyo imani ya wengi, tunawatakia kila la kheri katika kuitazama UEFA...
Timu ya West Brom Albion inayoshiriki ligi kuu ya uingereza nayo siku ya leo imesitisha mkataba na kocha Alan Irvin.
Ikumbukwe kocha huyo amedumu katka timu hiyo kwa miezi 6 tu. Katka mechi 8...
Masudi,,,, kiukweli kwa hili naamini kipindi kile ulitumika tu kwa ile kazi ya kuzunguka kila siku kwenye vyombo vya habari kuilalamikia Simba kisa kuwa nafasi ya nne huku ikiwa imecheza mechi 8...
Mzee Mengi na Manji hawa ni wafanya biashara maarufu hapa nchini kama alivo mzee Bakhresa. Ki soka Mengi na Manji wanapendelea rangi ya kijani wakati Bakhresa anapenda rangi nyekundu.
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.