Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MAISHA ni safari ndefu…katikati pitapita yangu nimemkuta beki wa kushoto wa Mtibwa Sugar, David Charles Luhende akipumzika maeneo fulani hivi. Mwandishi: Luhende niaje mkali wangu? Luhende: Barida...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sikuwepo uwanjani na sikutazama soka kupitia TV. Taarifa zikasambaa asubuhi hii kuwa kuna tukio lenye dalili ya shirki lilitokea kwenye mechi hii ya jana. Nimeona picha mahali, zinazoonesha...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Jose Gimenez Celebrates Atletico Madrid Second at the Vicente Calderon. Image: AFP.… Read More » http://shokivibes.blogspot.com/2015/01/atletico-2-0-real-no-dream-torres.html
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Just For Fun.... Do not forget to drop your answer.¡- Read More 0†3 http://shokivibes.blogspot.com/2015/01/which-number-is-ronaldos-eyes.html
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Hakuna Ronaldo, CR7, Ronadinho, Eusebio wala Best, wako manguli tu wa soccer humo ndani ambao itachukua karne kuja kutokea tena. List kamili iko hivi; 1.Lev Yashin - USSR 2.Cafu - Brazili...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu wadau wa Michezo na hasa mpira wa miguu. Sasa ni dhahiri kuwa Yanga ndiyo timu inayochangamsha mashindano Afrika mashariki na kati kila inaposhiriki. Hii inatokana na kukubalika kwake na...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Timu ya wananchi, Young Africans Sports Club maarufu kwa jina la 'Yanga' usiku huu inashuka uwanjani kusaka pointi 3 dhidi ya Shaba FC ya Pemba. Kwa mujibu wa Jerry Muro alipoongea na Radio One...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Nimekua mfuatiliaji wa mahojiano ya makocha kabla na baada ya mechi katika ligi mbalimbali hususan ligi za ulaya nilichogundua wenzetu kama kocha katoka nje ya nchi hiyo inachukua muda kidogo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni mashindano ya kombe la mapinduz, mashindano yana shirikisha timu kumi na mbili ambazo zimepangwa katika makundi matatu kama ifuatavyo; KUNDI 'A' Taifa Jang'ombe, Yanga, Polisi zanzibar na...
0 Reactions
262 Replies
20K Views
Jana katika muendelezo wa La Liga, miamba ya oka nchini Hispania,Uaya na ulimwenguni kwa ujumla katika ngazi za vilabu, Real Madrid na FC Barcelona zimepokea vipigo kutokawa wapinzani wao. Madrid...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kuna website moja nlikua naipitia nmeshindwa kuweka link,wameka ranking za vilabu vya africa kilichonisikitisha ni hivi vilabu vya bongo na afrika mashariki,kwa africa mashariki Azam ndo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
INAONEKANA kuna baadhi ya watu wenye dhamira ya kweli katika kuhakikisha mashindano ya soka ya kuwania Kombe la Mapinduzi yanafanyika kila mwaka na yanakuwa yenye hadhi. Kwa hali ya kusuasua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimegundua watu hufungua uzi wakigundua simba imechapwa au inaelemewa, sasa mbona jana hamkuja na vinyuzi vyenu? Habari gani kama simba ingechapwa na Mafunzo? si mngekuwa mmejazana huku?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Apparent Diamond Platnumz has a stalker aka a troll in Naii..., this dude has changed his name to "Msafi"and has called his music Bongo while he sings he speaks, he sings and even he gives facial...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Tuzungumzie usajili ulaya......Timu yako iwe chelsea,man u,arsenal,liverpool.........inamtaka nani.....???
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wandugu, mimi kwa sasa hivi sio mshabiki wa timu yoyote ya mpira, ila ninapenda sana ninavyoona watu wanaongelea mpira. Najisikia aibu pale ninapoulizwa kuhusu mpira wa majuu, coz siufuatilii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwenye Toleo la leo la Mwananchi chini ya Kichwa cha Habari 'Phiri Atoa ya Moyoni', mwalimu huyo ameelezea jinsi anavyoiona Simba, vilabu vya Tanzania na mustakbali wa soka la nchi hii. Miongoni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Longtime ESPN sportscaster Scott dies at 49 By RICK FREEMAN (AP Sports Writer)Stuart Scott was in his element, working a ''Monday Night Football'' game, when he was forced to leave for an...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom