Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwenye historia ya Simba kuna mtu aitwaye Abdallah Athuman Kibaden. Akichezea Simba 1971 mpaka 1978 aliiwezesha kubeba ubingwa wa Tanzania mwaka 1973 ambapo kabla ya hapo ubingwa huo ulimilikiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hahahaha.. This week kuna gazeti la Champion liliandika kichwa cha habari kwamba mtani umekuwa Mcharo.. Hii ni katika jitihada ya Shigongo kuwatoboa mifuko mafukara wa akili Yanga,wakaanza...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
LAS VEGAS -- Promoter Bob Arum told Yahoo Sports on Tuesday that Manny Pacquiao has agreed to terms for a May 2 bout with Floyd Mayweather, and that the only thing in the way of the long-awaited...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KUNA baadhi ya maeneo nchini hayana hospitali yoyote na kama zipo basi ni umbali mrefu kutoka yalipo makazi yao. Hayana vituo vya tiba wala wataalamu wa afya. Licha ya jitihada za serikali...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni hivi punde kwenye Sports Extra ya Cloudz Fm..kijana anayefahamika kwa jina la Andrew ameaga maisha kwa mshtuko uliotokana na Shaban Kisiga kukosa penati.Tukio hilo limetokea katika Banda la...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nasema hawana nidhamu kwa sababu baadhi ya wachezaji wa mtibwa walipovishwa medali zao wao waliamua kuzivua mbele ya mgeni rasmi ambaye ni rais wa znz Dr Shein. Punguzeni uhuni ninyi wachezaji wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
inahuzunisha hizi timu zilizopo jiji lenye utapeli uwongo majungu na lenye mashabiki wasiojua mpira. na hii ndio inasababisha hata timu ya taifa kuwa kama simba na yanga ila nawaombeni sana...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Picha na Faustine Ruta, Bukoba. Baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu uchakavu wa Uwanja wa Kaitaba unaotumiwa na Timu ya Kagera Sugar FC, sasa kilio kimesikika na sasa uwanja huo umeanza...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Timu ya dunia ya fifa 2014 hii hapa - malalamiko sipokei waandikie fifa moja kwa moja.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jerry Tegete baada ya kusotea benchi kwa muda mrefu sasa ameamua kuja na visingizio vya kusumbuliwa na nyonga eti ndio maana hachezi asituongopee wafuatiliaji wa soka maana anachofanya ni sawa...
0 Reactions
95 Replies
8K Views
Wakuu habarini za leo? Naombeni msada wa taarifa zinazohusu Mashindano ya Kombe la Mataifa Huru ya Afrika 2015, hususan Ratiba! Natanguliza shukrani zangu, na kuwatakieni nyote, wadau, Heri ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo ndio siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa mpira wa miguu dunia nzima ambapo ndio siku rasmi ya kumpata mchezaji bora wa Dunia. Tuzo zitakuwa live Zurich-Switzerland kuanzia saa...
1 Reactions
208 Replies
24K Views
Soka inapelekwa wapi? Sasa kufunga mabao ndiyo suala la hadhi kubwa na si kuzuia mabao yasifungwe, kuunganisha timu na kutoa pasi za mabao. Kukiwa na utaratibu wa kutoa tuzo, mindset zetu...
0 Reactions
6 Replies
982 Views
Kweli Fanya Kazi kama mtumwa uishi Kama mfalme, dah! The King Drogba ndiyo mchezaji pekee duniani mwenye Mjengo wenye thamani kubwa zaidi uliomgharimu paundi mil 14 point kadhaa. Maelezo zaidi.
1 Reactions
58 Replies
14K Views
Wadau wasoka hebu angalieni timu ya wiki kwenye ligi pendwa ya Uingeleza!! Je timu yako imetoa mchezaji hata mmoja? Tujadili kwa Hoja si kuikandia au kuifagilia tu. Binafsi naifagilia ingawa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba na Mtibwa Sugar Leo zitacheza Fainali ya Mapinduzi Cup 2015 kwenye Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Hii itakuwa mara ya pili kwa Timu hizi kukutana kwenye Mashindano haya kwani walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wakuu, me kwa ufup napenda sana michezo hasa mpira wa miguu npo maeneo ya mkoa wa kigoma, border ya burundi napendwa kufahamishwa wap naweza kujfnza kozi fupi ya ukocha bila kuadhri...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau, kwa mwenye contact za mmojawapo wa wakuu hapo juu naomba anisaidie. Natanguliza shukrani. {Niko mkoani, kwa hiyo habari za kwenda ofisini kwao uwe ushauri wa mwisho}.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata Taarifa Kuwa Timu Zilizoingia Fainali Ya Kombe La Mapinduzi Ni Yanga Na Mtibwa Sugar Mara Baada Ya Yanga Kuibuka Na Ushindi Wa Magoli 7 Kwa Bila Jana Usiku Yakifungwa Na Simon Msuva...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Katika michuano iliyoshirikisha timu kubwa za Simba, Yanga, Azam, Mtibwa na mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi KCCA ya Uganda, usingetarajia kuziona timu za Zanzibar zikifurukuta. Ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom