Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Full time. Kagera's 1 vs Azam fc 3. goal scorers. 2' Tchetche. assist: M.Yahaya 37' Kavumbagu. assist:Tchetche. 62' Kavumbagu. assist:M.Yahaya. Kagera's goal. 54'...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Jaman waungwana tupost timu zetu ili tuone idad kubwa ya wanajamii forum ni mashabiki wa timu gani
0 Reactions
3 Replies
966 Views
Tunaona mmetenga muda was kuongea tuu AFCON huku mkiangalia peke yenu kana kwamba Sisi hatupendi kuoneshwa,mbona mnafanya hivyo lakini? Mwaka Jana mlishindwa kurusha w.cup,EPL,uefa na sasa afcon...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KLABU ya Arsenal leo imeanza mazungumzo rasmi na makampuni 20 ya hapa nchini kwa lengo la kufungua mahusiano ya kibiashara lakini katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Loh kweli leo mmeaga emirates, mlichomfanyia babu yetu hatokaa asahauuuu bila kuwasahauuuu kwa kuwapa pole wenzanguu wa Betttttttttttttttt. Eeehhhhhhhhhh. Najuaaaaaa yanawashuka. Mngekuja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iran's footballers have been warned they could face punishment if they take "selfie" pictures with female fans who have turned out in large numbers at the Asian Cup. The head of the Iranian...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Katika ulimwengu wa sasa wa sayansi na Teknolojia Matumizi ya internet yamekuwa kwa kasi Tunatarajia TFF iweze kutumia website yake kama chanzo kikuu cha taarifa Sasa ukienda huko kwa website...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nilibahatika kumuona Thiery Henry niliwahi kujiita Ronaldinho namkumbuka Peter Schmeichel nimemshuhudia Xavi nilimpenda David Beckham, sikumfaidi Zizou vizuri, Nawakumbuka kina Shevshenko ,Kaka...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Pamoja na kuwahi kuishi katika nchi ya tofauti na Tanzania,ninaamini nchi yetu hii ni moja kati ya nchi zinazoongoza kwa kutofuatwa kwa maadili ya utendaji kazi hususani katika tasnia ya uandishi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
taratibu ile huzuni inaisha mcc wameleta faraja. hahaaaa hushile akhaya umwoto guwaha. mbeya city humwanya
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huwa nalipa kika mwezi Dstv compact + shida yangu ni football ⚽. Mwezi huu nimegoma kabisa maana tulianza na 75 elf na sasa inakaribia laki moja Then nikapata wazo LIVE STREAMING...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kufuatia sare ya mabao 2-2 dhidi ya Atletico Madrid hapo jana,Real Madrid imevuliwa rasmi ubingwa wa Copa del Rey kwa jumla ya mabao 4-2.Mechi ya kwanza ilishuhudia Atletico Madrid ikishinda mabao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
timu ya yanga naona mafundi wazuri wa kuchonga droo naona droo ya pili bado droo mbili ndio ataanza kufiliria kutengeneza kabati yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Team ambayo inafanya vizuri EPL washibiki wa team hii tukutane hapa.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani wana JF na wapenda soka, Januari 22 mwaka huu kuna mechi kali ya timu ya Taifa letu, Taifa Stars na Timu ya Taifa la Rwanda, Amavubi. Mtanange huu utafanyikia Uwanja wa CCM Kirumba jijini...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kutokana na hali ya kimashindano na maandalizi ya ligi kuu kuzidi kuwa ngumu na mwisho kuambulia pesa kidogo za mshindi wa kwanza wa Ligi kuu ya Tanzania Bara Simba ni bora ikawa inashiriki kombe...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimetinga ktt jukwaa hili la michezo kuhuliza vp tbc itaonyesha AFCON kesho?
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Mpendwa jm tumsifu yesu le kristo,,find attached pics nasoma mwananchi leo najiuliza hozi timuzapolisi zinaachalini kupiga waamuzi,,pili sheria zinasemaje niliona yanga waliadhibiwa vilivyo lakini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Real Madrid attacker Cristiano Ronaldo has been named the best Portuguese player of all time by the Portuguese Football Federation (FPF), ahead of Eusebio and Luis Figo. The 29-year-old was...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tokea bonanza la Mapinduzi Cup lianze ni kama ligi kuu ya Tanganyika imesimama kwa kufuatilia kupitia Azam TV, ila utaisikia tu kupitia media nyingine ilhali pana mkataba wa kuonesha mechi hizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom