Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jamal Malinzi, Kuna kitu kidogo sana ambacho uspokiangalia kwenye uongozi wako utamaliza vibaya na kufuta kabisa kistoria yako ya yale ambayo angalau umeyafanya yanayoonekana ni mazuri. Mpira wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
nimesikia wanachama wa simba kipindi cha michezo cha redio kuwa kuna mzungu kichaa anavurugana na viongozo wenzake kwenye klabu ya simba huyo mzungu kichaa ni yupi utujuze sisi mashabiki wa simba
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ureno Luis Figo ametoa taarifa za kushitusha baada ya kutangaza kuwania Uraisi wa FIFA. Nyota huyo wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon, Barcelona, Real...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
nimesoma gazeti moja kuwa kuna habari ngasa ameenda afrika kusini kufanya majaribio. mimi nampa tano lakini uongozi wa yanga unadai kuwa hauna habari eti ikibainika kama kweli itampa adhabu...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Kabla ya MECHI YA SAFRICA NA GHANA AKIWA OFISI ZA SS3 ALIULIZWA UNAONAJE MECHI YA LEO ,AKAJIBU AKUNA TIMUPALE YA KUIFUNGA GHANA,,NA MKISHINDA SAFRICA NIKO NA MASHINE HAPA NANYOA NDEVU NA NYWELE...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Juz TAMBWE kafanyiwa vbaya na wale mijida Simba wakasema yanga wagangamae,leo viongoz wa simba hao hao wanaitaka TFF imchukulie hatua Aggrey Morris kwa kumpga kiwiko Okwi,wamesahau matusi yao kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau tafadhali nijulosheni. Eti nikiwa ma king'amzi cha Azam nitapata chanel ya mieleka?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa utaalamu wangu picha anaedai amis tambwe kuwa alimpiga kibao beki katili ni uongo.kwanza angalia mikono ya tambwe mkono mmoja hauonekani pili wapo sambamba hicho kibao atampigaje beki katili...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani wana michezo, Nakumbuka kulikuwa na mchakato wa ubunifu wa jezi mpya za Taifa Stars, ulioanza November, 2014. Ningependa kujua zoezi hili limeishia wapi hadi sasa January, 2015. Mimi niko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau karibuni uwanja wa taifa kuona mechi kali tangu mwaka 2015 uingie vijana wa unyamani simba sc watakipiga na kinara wa ligi kuu Azam fc wana lambalamba, vijana wa simba chuo cha soka Tanzania...
0 Reactions
227 Replies
27K Views
Kuhama kwa IBRAHIM MAESTRO kuhamia EF sport itakuwa nipengo kubwa sana clouds fm katika kipindi cha michezo Maestro alikuwa mchambuzi Wa michezo katika Redio Na TV clouds ambae alifanya kazikubwa...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Mwandishi Mohamed Kuyunga wa gazeti la Michezo la Mwanaspoti la leo tarehe 16 Januari 2015 anadai 'eti pamoja na kuibuka kidedea na ubingwa wa kombe la Mapinduzi, Simba yenye maskani yake Mtaa wa...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
1.Alitozwa Dola 400,000 (zaidi ya shilingi 700,000,000 ta kitanzania) kwa kwenda kwenye klabu ya uchi siku moja kabla ya mechi 2. Akiwa kwenye gari aina ya Bently, Januari mwaka 2012, Baloteli...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Nkumbuka alisema maximo wakati anaondoka akaulizwa mbona unapendasana washambuliaji tokanje akajibu wengiwanauza timu nilikuwepo nanawajua vyema,,bora timu ikatumiagarama kununua washambuliaji...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
nawasikitia timu ya yangaafrica uongozi pamoja na mashabiki yasiojua mpira mlimsakama jaja akamua abaki kwao mkaona haitoshi mkaanza kwa maximo. kocha mwenye taaluma maximo aliwaacha yanga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msemaji wa JKT RUVu jana akihojiwa AMESEMA YANGA WANAJAMBO WANALITAFUTA WALA SIO MPIRA MAMBO YA MPIRA YANAISHIA UWANJANI.KUITA TAASISI YA JESHI BOKO HARAMU HAYO NI MAMBO MENGINE...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Huu ni ujinga wa wachezaji wengi wa kitanzania ambao bado hawajafahamu kuwa mpira ni kazi kama kazi nyingne yoyote ile. hawa huwa wanaweka mapenz ya team zao mbele wanasahau siku nazo hazigandi...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Kwanza nawapongeza sana TFF kwa kuamua mechi kuchezwa mwanza. Pia napongeza sana AZAM TV kwa kutuletea mechi hiyo Live. BALL BOYS na idadi ya mipira: Hili tatizo Nikiangalia ni kwamba mpira...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo tarehe 24/01/2015 vpl polisi morogoro vs yanga. utapata kila kitu kutoka uwanja wa Jamhuri morogoro, mkolaj ndo nitahusika kwa kushirikiana na cnjona na makoye matale. ====== ====== Matokeo...
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Kwenu wana simba.... Swali langu hilo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom