Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hi wakuu,anayejua kozi ya ukocha inapotolewa 0717 288306
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu? Tunaomba kumpima huyu Mh. sana, anavyoshangaza katika utendaji wake. Amekuwa na shutuna mbalimbali tangu aingie TFF, kama za kuhama ofisi, kuua ligi daraja la kwanza, kuajiri...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Closed
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Simba Sports Club na Coastal Union ya jijini Tanga utakaofanyika hapo kesho umekuwa ni mchezo unaosubiriwa kwa hamu hasa kwa upande wa Simba, ukizingatia...
1 Reactions
89 Replies
9K Views
Waungwana, Mashabiki wapenzi,wanachama wa Simba Sc na wadau Michezo Nchini.. Hizi timu zetu tunazo ziita kubwa hapa nchini sasa zinatakiwa kujitambua, na kulipa fadhira kwa wafuasi wake, badala ya...
3 Reactions
62 Replies
13K Views
Daniel Sikuta of Kenya scores a try in a past match. AFP PHOTO / MARTY MELVILLE Kenya are through to the quarter-finals of the Wellington 7s after a resolute passage of play against pacific...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Simba imara,mnyama mwenye hasira kali sana,mnyama aliyepita kwenye majiribu,fitna na hujuma.sasa ametulia na mpira wake mkubwa.Kesho anacheza na Coastal.Kwa kuwa timu yangu iko katika kiwango...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
kindumbwe ndumbwe cha ligi kuendelea tena kesho. Pale mjini tanga ndani ya dimba la mkwakwani watakutana yanga sc na wagosi wa kaya coastal union. ni moja kati ya mechi ngumu sana kwa timu zote...
1 Reactions
336 Replies
25K Views
MASTRAIKA wawili wa Yanga wamekumbana na uchawi wa aina yake. Kpah Sherman ambaye ni Mliberia amedai kuyabaini maji ya ushirikina yaliyokuwa uwanjani, lakini mwenzake Danny Mrwanda akayachukua...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Poleni kwa majukum wadau naomba kujua club yenye mafanikio tz kimataifa kwa mpira wa miguu natanguliza aksante
0 Reactions
12 Replies
1K Views
yeboyebo vs wana kuchele Historia ya Ugenini Inawabeba Ndanda FC Kama kawa naelekea uwanjani........... Bantu Lady, Masuke, Shark, Revocatus Kashaja, Grafani, Bello, Sembu, Mkolaj na Makoye...
1 Reactions
407 Replies
35K Views
Wadau habari zenu. Naomba mnipe procedures za kuingiza channel za africa magharibi na drc congo kwa yetote anayefahamu. Channel za kawaida azam hakuna hata moja inayoonyesha afcon kwa sasa. Msaada...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilbroad Slaa, amezitolea uvivu klabu za Simba na Yanga kusema hazina jipya. Slaa alitoa kauli hiyo juzi Jumapili kwenye mkutano wa...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Bandika Bandua, North London Derby, Merseyside Deby, Paris Derby, Madrid Derby.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Azam Media LTD wameingia ubia na shirikisho la soka Uganda kuidhamini ligi kuu ya nchi hiyo ambayo itakuwa ikiitwa Azam Premier League kwa kitita cha USD 1.9 leo Na wamesema wapo katika mchakato...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Endapo watafanikiwa kucheza timu ya vijana ya klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania, basi itakuwa ni habari njema kwa soka la Tanzania, ambayo wachezaji wake kadhaa wamekuwa wakifeli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo hutokea kwa kasi sana na hivyo kusababisha stress. Wakati mwingine ni muhimu kupata kitu cha kukufariji na hivyo kumaliza kabisa stress hiyo. Kwa mwana spoti si mbaya kama utapitia mtandaoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeangalia review ya hili goli hata kama ngekewa hii imezidi<br>
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pre Match Meeting Ndio Imeisha sasa Hivi, mabadiliko kdg kikosi cha Simba leo
0 Reactions
226 Replies
25K Views
Back
Top Bottom