Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

The fastest man on the planet plans to hang up his spikes in 2017 to protect what he refers to as his ‘legacy'. And Usain Bolt is hoping to bow out in style like Sir Alex Ferguson. His last...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunaofurahishwa na matokeo mazuri ya Yanga kwa kupitia juhudi zako uwanjani tuko wengi sana, wewe endelea kutupa raha uwanjani wana Yanga na sisi nduguzo tutasaidia kukulipitia deni lako...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
kwa kweli mpira wa tanzania umeingiliwa kuna habari kuna timu ilitaka kumpa rushwa kocha wa polisi moro shs milioni kumi ili awachie ushindi uwanjani kocha alikataa katakata. huyo mtoa hongo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kesho Wasiojua kucheza Mpira Dunia Nzima Timu Ya Yanga Inacheza Na Wanaojua BDF Ya Botswana Uwanja Wa Taifa Jijini Dar es Salaam Wakati Kesho Hiyo Hiyo Ni Siku Ya Wapendanao Hivyo Sipati Picha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyota wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani, Mario Gotze amesema kuwa ni vigumu kwa mchezaji mwingine yeyote kufikia hatua ambayo Lionel Messi yupo kwa sasa.Katika kumsifia nyota huyo wa...
2 Reactions
1 Replies
797 Views
Dar es Salaam. Klabu ya Simba imewapa masharti mahasimu wao wa jadi, Yanga kama inahitaji mashabiki wao waishangilie kwenye mchezo wa keshokutwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
YANGA SC VS MTIBWA NI MECHI YA KISASI AMBAYO TUSITEGEMEE UFUNDI MWINGI ZAIDI KUKAMIANA Mzunguko wa kwanza Yanga SC ikiwa chini ya Mbrazil Maximo ilikubali kichapo cha magoli 2-0 , ilikuwa ni...
0 Reactions
262 Replies
25K Views
- The deal is worth a huge £57million over the course of five and a half years Eden Hazard has signed a new £200,000-per-week contract at Chelsea to keep him at Stamford Bridge until 2020. The...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo tarehe 11/02/2015 majira ya saa 10 jioni kutakuwa na kipute cha aina yake pale Azam FC Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara watakapowaalika wakata miwa wa Mtibwa kutoka Manungu, Turiani...
4 Reactions
106 Replies
10K Views
Makala hii ilichapishwa katika gazeti la Mwananchi toleo la Jumatatu, 12 Mei 2014. Na Mphamvu Daniel, Dar es Salaam. Ni wikiendi moja tukiwa katiba banda la kutazama Soka mtaani kwangu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Bobby Moore Classic pre-match ritual involved Moore putting his shorts on after everyone had done so first. Team-mate Martin Peters copped wind of it and would wait for Moore to finally put...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Makala hii ilichapishwa katika Mwananchi la 19 Mei 2014 Na Mphamvu Daniel Katibu mkuu wa Fifa, bwana Jerome Valcke alifanya ziara hapa nchini wiki kadhaa zilizopita. Pamojana kufungua semina...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
SHABIKI NAMBA MOJA WA TAIFA STARS KAMANDA ZITTO KABWE AKIISHANGILIA TAIFA STARS NDANI YA MOZAMBIQUE,ASANTE SANA KWA MSAADA WAKO KAMANDA,SOKA YA TANZANIA ITAKUKUMBUKA DAIMA. TRA KUWANUFAISHA HAWA...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
imehamia jukwaa la picha
0 Reactions
0 Replies
665 Views
KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), iliyokutana Desemba 19, mwaka jana, ilizifanyia mabadiliko kamati zake ndogondogo na zile za kisheria. Kutokana na mabadiliko hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpaka dakika hii siamini uongozi wa timu ya Yanga kama wako 'serious' kwa taarifa zilizopo sana kuwa hawatampa mkataba mpya ngui mpiganaji Hamis Kiiza 'Diego'. Nina hakika tutakuja juta mnyama...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Tanzania ikiwa inaangaliwa kimataifa kupitia timu zake za vilabu kwenye mashindano ya klabu bingwa na shirikisho, tayari Yanga Na Azam wanajiandaa na michezo yao ya raundi ya kwanza itakayochezwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kodivaa ndio mabingwa wa Afrika mwaka 2015
0 Reactions
1K Replies
69K Views
What's wrong with you people? From BRIC to now entertainment Kenya is behind even her peers in EA when it comes to entertainments several international artists skip Kenya for Tanzania and Uganda...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom