Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kutokana na kujitoa mwishoni kuandaa mashindano ya AFCON 2015, shirikisho la soka barani Afrika limeifungia nchi ya Morocco kushiriki mashindano ya AFCON kwa vipindi viwili mfululizo kwa mwaka...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeona kupitia Channel TEN jana na kwenye magazeti kuwa timu bora Ulaya ya FC Barcelona (veterans) itatembelea nchi hii na kuwa na mechi tarehe 28 March mwaka huu. Ni habari ya kufurahisha haswa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni first eleven yangu wa Vpl msimu huu ktk duru ya kwanza 1) Said mohamedi (MTIBWA) 2) R.kesi (SIMBA) 3) Kipobile (MBEYA CITY) 4) Isihaka (SIMBA) 5) Cannavaro (YANGA) 6) Mkude...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Wikiendi hii nilikuwa ubanda nikitazama mechi kati ya Yanga na Ndanda, hapo nilipokuwepo televisheni nyingine ilikuwa inarusha mchezo wa Arsenal na Newcastle. Sikuwa na muda sana na mchezo huo...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Baada ya mchezo kunoga kwa timu ya Yanga katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, waziri Mwigulu Nchemba alilazimika kuinuka kwenye kiti alichokuwa amekaa huku akiwa amevalia shati yenye rangi ya...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
The Egyptian authorities have suspended football league matches indefinitely after clashes at a stadium in Cairo left at least 22 people dead. People were crushed after police fired tear gas at...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Refamsaidizi apigwa na kitu uwanjan akimbilia kati!!Moira ulibaki Dk 10 kuisha wananchi wamevamia uwanja na polisiwameingia kati muda simrefu watatoa maamuzi !!wachezaji waghana wanamkumbatia refa...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Jumamosi, 07.02.2015 Polisi Morogoro 2 - 2 Azam FC ( Jamhuri ) Ndanda 1 - 1 Stand United ( Nangwanda Sijaona) Kagera Sugar 1 - 0 Mgambo JKT ( Kamabarge ) Tanzania Prisons 1 - 1 Ruvu Shooting (...
0 Reactions
195 Replies
13K Views
Azam Tv toka ligi ya vodacom 2014/2015 ianze hamjawahi kurusha mechi ya Ndanda ambayo wamecheza Umoja Stadium (Mtwara), labda leo nimeona nivema kuliweka hili bayana kulikoni mpaka musirushe hizi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1 Reactions
3 Replies
4K Views
...Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona hii Habari inayomuhusu mwenyekiti wa Yanga .Yusuph Manji...kutaka kuanzisha mashindano maalumu ya Kupambana na EBOLA...na yeye manji atatoa kiasi cha...
3 Reactions
42 Replies
8K Views
Shirika la utangazaji la Tanzania Tbc1 majanga. Wameacha kuonyesha mashindano ya afcon tangu mwanzoni lakini leo siku ya fainali waamua kurusha game live. Najiuliza kwani walishindwaje kurusha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
To be updated. Sorry ! Kumbe version niliyoweka imepitwa na wakati. Samahani kwa usumbufu!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamal Malinzi na TFF hii . mbona jambo hili umeliangalia na kulifumbia macho? tumeona jinsi ambavyo Yanga wamefanya vitendo hivyo kwenye mechi nyingi sana. ikiwepo hii ya juzi juzi kwenda kutoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu. Leo kuna mchezo wa kirafiki kati ya Coast union ya Tanga na Simba ya DSM, mpaka sasa si coast wala simba ambaye ameliona lango la mwenzake. Mpira ni pamumziko sasa hivi. Coast...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wazee was bet wekeni mzigo arsenal nawahakikishia mtakuja nikumbuka!!kila LA kheri wote
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau wa soka moja kati ya vitu ambavyo naona ligi yetu tanzania inakosa ni walpaper za kutumia kwenye simu au pc. nimeanzisha hii thread kwa muda wangu ambao nipo free nitatengeneza walpaper za...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ebu weka mapendekezo au maoni ya nin kifanyike kuendeleza soka letu hapa Tanzania. Ukizingatia michezo inayochezwa hapa ligi kuu Tanzania Bara.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU TANZANIA KAZI IPO NDANI YA MKWAKWANI SIMBA SC VS COASTAL UNION. Wakati Simba SC imecheza mechi 12 huku ikishinda mechi 3 , droo 7 na kufungwa mechi 2 ipo nafasi ya 8...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nataka ni bet game ya Aseno na Spurs,ipi Bet nzur isiyo na longo longo hapa bongo na nje. Asanteni Tupieni Link tafadhari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom