Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge...
Yaani hili litimu kama arsenal tu!! Kama linapona hivi halafu linarejea tena!!
Ikiwa na wachezaji wao wote nyota,mikia fc wamekalia vinne taslimu kutoka kwa mtibwa sugar
Karibu ni tena vpl...
Enzi zake akiwa kocha chipukizi, ilikua kawaida kwa Wenger kuwasha ka fegi pale mechi ilipokua inamuendea vibaya..sikuizi kawaida yake ni kupiga mateke chupa za maji..
Wakina Jack Wheelchair na...
Umofia Kwenu wana JF,
Katika ufuatiliaji wangu wa TV za East Africa nimeona kuna vipindi vya reality jokes vinashika chati sana kwenye TVs,Punk'ed ndio ilifungua njia lakini wachache sana...
Kocha mmoja aliwahi kusema
football is like that, sometimes like your mother and sometimes like your step mother
Amiss Tambwe ambaye aliwahi kung'ara na kuwa lulu ya simba msimu mmoja uliopita...
Ratiba ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa imepangwa huku Arsenal na Chelsea zikipangiwa kucheza na timu za Ufaransa.
Manchester City imepangiwa kukipiga na Barcelona, moja ya mechi...
Jana nilimbetia Sporting Cristal live dakika ya 85 alikuwa anaongoza 2-0 nikampa win nikaweka 100 000. Juan Aurich wakachomoa dakika ya 89 na 90. Mechi ikaisha 2-2. Ilikuwa napata faida shilling 2000.
Kwanza Nina Furaha Iliyo Ya Ajabu Ya Simba Kuibuka Kidedea Leo Na Nakumbuka Wiki Iliyoisha Niliwatahadharisha Wana Yanga Humu Kuwa Wasithubutu Hata Kwenda Uwanjani Leo ILA Kama Kawaida Yenu Mkaona...
Shirika la kupambana na utumiaji wa madawa ya kuongeza nguvu nchini Uhispania lilimfanyiwa uchunguzi mshambuliaji hatari Lionel Messi ambaye amefunga Hattrick 3 katika mechi 4 za mwisho.Shirika la...
TFF sasa mumezidi, kwann game ya leo ya NANI MTANI JEMBE isionyeshwe live! ina maana kuwa mechi hii ingeoneshwa live mngekosa mapato ya uwanjan?
Ttupen sababu zilizosababisha hii match isioneshwe...
Nakumbuka enzi hizo mchezo wa mpira wa miguu sheria zikikanyagwa na wababe. Mfano tulioishi vijijini tumejionea mengi. Unakuta mtu anaanua mpira halafu anamkanyaga mwenzake matakoni, au anampiga...
kama mdau na shabiki wa yanga nmeanza kukosa imani na kocha maximo kutokana na misimamo yake ambayo mi naiita ya ajabu maana nahisi kama anawatenga wchezaji fulani nakuwapa kipaumbele badhi ya...
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI Daniel Danny Davis Mrwanda amesaini Mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Yanga SC akitokea Polisi ya Morogoro.
Mrwanda aliyewahi kuwika Simba SC...
Jamani yaani hata aibu hawaoni kinachoendelea hapa hakielewekikl kabisa mnashindwa nn kujifunza kutoka ulaya???
Mbn ni vitu vya kawaida kabisa yaani hovyo hovyo tu ukumbi umepambwa kama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.