04 December 2014
By Dennis Onderi Home
As Kenya grapples with insecurity and the consequent ailing tourism, her neighbor Tanzania is confidently striding across the borders to replenish its...
Katika hali isiyo ya kawaida, mtangazaji Christina Mbezi alifanya kila awezalo kukwepa kutamka jina la SSerunkuma, mshambuliaji wa Gor Mahia raia wa Uganda aliyetua nchini kufanya mazungumzo na...
Athumani Nyamlani
ALIYEKUWA mgombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani, amesema kodi ya pango inayolipwa na TFF ya Sh200 milioni kwa mwaka, ingezalisha mastaa kibao...
Mlinzi wa kati Juma Nyosso amejiunga na kikosi cha Mbeya City Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Akizungumza mara baada ya kuisaini mkataba huo kwenye ofisi za timu zilizopo jengo la Mkapa Hall...
Tumeona mara ya kwanza maximo akiwaleta Andrey Coutinho na Genilson Santos Jaja.... jaja ameshindwa ligi ya bongo ameondoka. lakini tulipata kumsikia akicheza kupitia magazeti yetu ya hapa bongo...
Tukiongelea upinzani kwa sasa upo kwa AZAM na MTIBWA YANGA MBEYA CITY lakin si team kama SIMBA ambayo bado inasuasua kila mechi inatoa droo
mechi tano bila kujua tatizo nn huku viongozi...
Blv me kuna michezo michafu inaendelea kati ya coach Maximo na. viongozi wa. Yanga,,unaweza kujiuliza zile pesa alizopewa jaja acheze zimetoka wapi n kama hivi hayupo kwa nini asirudishe pesa zetu...
Dec 1, 2014 10:33:00 Goal has nominated five Tanzanian players who have excelled for club and country in 2014. Which footballer do you think should be awarded Tanzania Player of the year...
Nawapongeza walioanzisha ndondo cup na wadhamini wa hayo mashimdano lakini wangefanya na mikoani kama morogoro dodoma tabora kigoma mwanza na mbeya wangepata wachezaji wazuri sana
Mashindano yenu ni mazuri, japo nimeyaona leo tu kupitia Azam TV. Nafikiri mlikuwa na malengo mazuri kabisa ya kuanzisha mashindano haya.
Binafsi sijafurahishwa na uwepo wa wachezaji wa ligi kuu...
Nimepitia magazeti kadhaa yenye habari za michezo leo nikakutana na moja lililoanza kumjazia sifa mchezaji mpya anayekuja kwa majaribio Yanga kwa staili hii
Nikakumbuka mwandishi mmoja wa habari...
Habari kubwa pengine ambayo inatazamwa kama habari ya msimu
baada ya Emmanuel Adebayor kudai kuwa mama yake ndiye chanzo
cha kushuka kiwango kwa kuwa amekuwa akimchawia na kupelekea
kumfukuza...
Legend Pele mgonjwa mahtuti
Jagina wa soka Brazil Pele alikuwa bado anapokea matibabu ya figo Jumamosi lakini hali yake inaendelea kuimarika, hospitali ya Sao Paulo alimolazwa ilisema.
"Hali...
Siti mtemvu kachukua pesa hazijarudi
Escrow huko wanagoma kurudisha hela.
Na jaja nae arudishe zile hela ni za umma!! Haiwezekani uchukue mpunga halafu ukimbilie kwenu
Tra mkagueni huyo...
Tanzania Premier League Board (TPLB) has said they have managed to raise the value of the Mainland League from Sh3.5 billion last season to Sh6.5 billion presently.
The TPLB chief executive...
HUU NDIIYO UFAFANUZI WA MASUALA YA MBEYA CITY FOOTBALL CLUB.
Klabu ya Mbeya City Council Football Club leo 25/11/2014 inatoa ufafanuzi wa mbalimbali ikiwemo suala la utaratibu wa maslahi kwa...
Emerson mchezaji mpya wa 'maximo' alipotua leo Dar, nimefurahishwa na ukubwa wa begi lake kwamba ana uhakika wa kubaki na si kama mwenzie Jaja.................ama badu kama hakujifunza namsihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.