Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Amri Kiemba (pichani) ameanza mazoezi rasmi leo uwanja wa Chamazi.............Kutoka Kagera Sugar...Yanga.......Simba na hatimaye Azam FC Iwapo Simba hawajaridhia nadhani atakua na kosa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
HATIMAYE REKODI NYINGINE YA TANGU 1955 YAVUNJWA RASMI!. Baada ya Kufunga hat trick dhidi ya Sevilla Jumamosi hii Kama kawaida yake LIONEL MESSI ameendelea kuzivunjilia mbali rekodi za wakongwe...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu. Malinzia amepelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu, ingawa haikuelezwa anasumbuliwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu FIFA wanataka kuleta hii sheria ya kapu la dhambi katika mpira wa miguu, mimi naona iko poa zaidi kuliko red kadi, Nini maoni yako?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Beki kisiki wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde Beki kisiki wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde ametoa siri kwamba amegoma kujiunga na Klabu ya Simba kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii imetokea leo wakati, Jonas Mkude akisaini mkataba wa miaka 2 mbele ya waandishi wa habari wa kuitumikia Simba Sc. Namnukuu, "Baada ya sisi kumsaini Okwi, Manji alisema anaweza kusajili...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Nyota wa Barcelona Lionel Messi amesifiwa kuwa "mchezaji bora zaidi katika historia ya kandanda", anasema rais Josep Maria Bartomeu. Raia huyo wa Argentina,mwenye umri wa miaka 27,ndiye mfungaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu, inaniuma na ninaamia sana kuiona Liverpool ikiwa katika hali hii, mwanzo niliona ni mapito tu, kwani wachezaji wengi pia walikuwa ni wapya sasa nashangaa, kila siku tunafungwa Kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je unajua kinachoitafuna Mbeya City hadi kushangaza wengi? nitarudi hapa na habari za kiuchunguzi Mbeya City ambayo iliwika sana msimu wa 2013/14 imeshindwa kukidhi matakwa ya wengi msimu huu...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Wakuu me ni mdau na mpenz mkubwa wa arsenal Tulivyofungwa bao la pilli kiukwel nimevunja simu yangu, hasira hasara ndugu zangu wenye mapenzi na timu yetu kama mimi naombeni mnichangie ninunue...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu jamaa kamtuhumu mama yake kumuwangia na hadi kumfukuza kwake...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
MSHAMBULIAJI Genilson Santana Santos ‘Jaja’ amejiondoa Yanga SC akiwa likizo nchini mwao, Brazil na sasa nafasi yake itazibwa na kiungo mkabaji, Emerson Oliveira Neves Roque, Jaja amesema ana...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Sijui kama simba kupitia kwa mwenyekiti wao wa usajili Hanspope walimaanisha kutamka vile kwamba wanamhitaji msuva kwa ada ya usajili ya kuanzia laki tano ama Hanspope alikuwa anajib mapigo kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
PIGIA KULA JEZI YA TIMU YA TAIFA UIPENDAYO KWA AJILI YA TAIFA STARS MWISHO WA KUPIGIA KULA NI TAR 30/11/2014. KWA KUPIGIA KURA JEZI YA UGENINI BONYAZA LINK HII HAPA, NA UCHAGUE KATI YA...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
VOTE FOR THE FOOTBALL KIT WHICH YOU PREFER THE MOST FOR TANZANIA NATIONAL FOOTBALL TEAM. DEADLINE IS 30/11/2014. VOTING FOR HOME KIT FOLLOW THIS LINK, AND CHOOSE BETWEEN (B),(C),(D) AU (E), TFF...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Nimesoma mwanaspoti toleo no.1645,Hisia zangu na Edo Kumwembe ''anasema Simba ina mchanganyiko mkubwa wa wageni wasio na uwezo kasoro Okwi'' huwa ninapenda sana kusoma mawazo ya Edo,maana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mshambuliaji wa kilabu ya Totenham nchini Uingereza Emmanuel Adebayor amekosana na mamaake kwa madai kwamba anatumia uchawi kumharibia kazi yake. Duru zimearifu kuwa mama huyo tayari ameondoka...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Yaani Tanzania hatuna tofauti yoyote na uingereza maana england mchezaji akicheza na kuperform mechi mbili au tatu tu ujuwe wana muita timu ya taifa hii falsafa ipo sawa sawa na tanzania mchezaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kaanzisha kituo cha tv kizuri sana lakini alifanya makosa kuajiri watangazaji wa mpira wa hapa nchini. ukiwa unaangalia mpira na kuzikiliza watangazaji tofauti na mpira unavyochezwa utahisi kama...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom