Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ndugu wana jukwaa wenzangu la michezo, Leo nimejikuta nimeamka nikikumbuka baadhi ya vitu kuhusu soka la Tanzania.Watanzania wengi wanapenda mpira ila mpira nahisi hautupendi ingawaje ni kutokana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gor Mahia cruised to their second Kenya Premier League title in two years with a comfortable 3-0 victory over Ushuru FC at Moi Stadium Kisumu on Saturday afternoon. The title race was open to...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
THE BEAT Why Bongo Flava is popular in Kenya Taking over: Bongo Flava singer Diamond at the launch of his Number One video, which is believed to have cost over $30,000 (over Sh48 million). IN...
5 Reactions
177 Replies
23K Views
Watch Football Online - FromHot.com - FromHot - FromSport - SportLemon.tv Mpira umeisha. Sierra Leone 1-5 cot d voire
0 Reactions
19 Replies
1K Views
President Uhuru Kenyatta today awarded Gor Mahia FC Sh3 million for their incredible performance during the recently concluded Kenya Premier League. The Gor Mahia team paid a courtesy call to...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Closed
Kutokana na Moroco kujitoa kuandaa kombe la mataifa yanayotarajiwa kuanza mwakani kutokana na tishio la Ebola na ata South Africa na Ghana kuonesha nazo haziko tayari kuandaa kutokana na hofu ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nafuatilia kwa karibu maendeleo ya Mbeya City, klabu inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambayo ilikuja kwa kasi kubwa msimu uliopita kiasi cha kutishia utamalaki wa timu zilizozoeleka...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwanza nakupongeza sana Jamal Malinzi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa TFF! Nilitaka kuleta huu uzi kabla ya uchaguzi lakini niliona inawezekana ikawa kete ya wapinzani wako kutumia ninachotaka...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Huenda TFF ikaongeza dirisha lingine dogo kwani kwa mechi saba tu hizi tayari wanatangaza usajili kupitia dirisha dogo sidhani kama kwelli timu ziko kwenye nafasi nzuri ya kutathmni mapengo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Former Manchester United boss David Moyes has been named as the new manager of Spanish club Real Sociedad. It is the 51-year-old's first job since he was sacked as United manager in April after...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
mechi ya nne mfululizo wanapigwa naona kocha juma mwambusi akimfuata kitambi wa ndanda fc.........so bure hawa jamaa watakuwa wamelewa soda za cocacola tena za kopo au ndo kusema wamelewa sifa za...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Je,unaridhishwa na maendeleo ya soka la tanzania kuanzia ligi kuu,timu ya taifa na timu za vijana?je tumejikwaa wapi na tufanye nini ili kujikwamua,,toa maoni yako yatarushwa moja kwa moja katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefatilia kwa mwaka huu ujanja wa hawa jamaa ni kule kwao wanapokutana na wajingawajinga lkn wakidondoka mji wa watu wanakatwa minyororo yote.Si Costa wala nani wote kimya.Chunguza utanambia
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wiki nyingine tena kwa wapenda michezo, Jumamosi ya leo viwanja vitano nyasi zitakua taabani kwa michezo mitano na kesho tukimalizia miwili. Mbeya City wakitaka kurudisha heshima kwa Stand...
0 Reactions
218 Replies
18K Views
mchezaji wa zamani wa Ufaransa Lilian Thuram na mwenzake Willy Sagnol ambaye ndio mkufunzi wa kilabu ya Bordeaux Kocha wa klabu moja ya kandanda nchini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani nikikua mbali nimemis habari za asenal nawaomba wana jamvi mnijuze
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nasikia mechi ya marudio baina ya Mtibwa na Kagera Sugar iliyochezwa leo 'asubuhi' imechezwa kwa dakika 45 na Kagera Sugar wakafanikiwa kupata bao. Hapo awali mechi hiyo ilichezwa hapo jana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Golikipa na nahodha Afrika Kusini Senzo Meyiwa, aliyeuawa kwa risasi mwezi uliopita, ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika leo. The Confederation Africaine de Football (CAF) on...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu links zote za mtandaoni zimenigomea na hii fight nilikua naisburi kwa hamu sana. Naomba updates kwa anayeangalia humu.
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Dar es Salaam. Mwanasheria Damas Ndumbaro ametoboa siri ya ugomvi wake na rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa ni basi la Taifa Stars na urais. "Kuna mambo mengi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom