Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kuna uwezekano mkubwa wa Ngasa kuchukua tuzo hiyo endapo wachezaji Bel Elhed na Ndombe hawatafunga katika fainali ya mwisho itakayozikutanisha timu zao za El setif na Vital club.Tumuombee...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Baada ya hivi karibuni Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kukumbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha zake kufuatia kuibuka kwa mvutano kati yake na klabu za ligi kuu, mapya yamezidi kuibuka...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Mabao yake mawili aliyoyafunga leo dhidi ya Ajax kwenye UCL yamemfanya Messi aifikie rekodi ya mabao kwenye UCL ya Raul Gonzalez. Christiano Ronaldo alishindwa kufanya hivyo juzi na kubaki na...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanasheria Damas Ndumbaro amesema TFF haina Mamlaka dhidi yake na kuainisha kuwa kama alikuwa na makosa kuvitetea vilabu vya ligi kuu,TFF ingepeleka malalamiko kwenye kamati ya maadili ya...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
SInce Hasheem Thabeet entered the NBA in 2009, he has failed to live up to the acclaim that comes with being the second overall pick. He has played for four different teams in five season, posting...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya Swaziland itakayochezwa Novemba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanyama's 40-yard effort as illustrated by our brilliant Match Zone. Click here to see all the stats from the game at the KC Stadium Wanyama celebrates after scoring the only goal of the game...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Southampton's Kenyan midfielder Victor Wanyama (centre) is congratulated by teammates after scoring the only goal of the English Premier League football match between Swansea City and Southampton...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Borussia Dortmund club yenye mafanikio baada ya Bayern Munich. Ikiwa na kocha aliyefanya vizuri miaka mi5 iliyopita. Jurgen Klopp, ameipa BvB ubingwa wa ligi mara mbili mfululizo, FA ya ujerumani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi karibuni mwenendo mzima wa timu ya simba ktk ligi kuu ya vodacom umekuwa si mzuri huku tukipewa sababu lukuki za kipopoma ila kwa uchungu wangu na mapenzi kwa mnyama leo nafunguka kisawasawa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
J'Mosi 01/11/14 Kagera Sugar 1 v 0 Yanga...
0 Reactions
322 Replies
30K Views
George Oppong Weah ndiye mwanasoka pekee barani Afrika ambaye ameshatwaa Tuzo ya Fifa Mchezaji Bora wa Dunia ambayo siku hizi inatambulika kama Ballon d'Or. Pamoja na mafanikio hayo, hakuwahi...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kocha wa Liverpool amesema katika mechi yao dhidi ya Real madrid atampumzisha Gerrard.Je atapona kweli?
0 Reactions
3 Replies
688 Views
Hating on Diamond By Steven Kisuli Muendo Updated Friday, October 24th 2014 at 09:59 GMT +3 0 inShare Even as Tanzanian star Diamond Platinumz emerged the top earning foreign artiste during...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Hiyo ni kwa mshangao wangu tu, kuwa ni kwa nini wachezaji wengi tena mahiri ni 'waswahili' kuliko wazungu?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mchezo wa raundi ya sita, Ligi kuu Bara ulioahirishwa jana kutokana na uwanja kujaa maji unarudiwa leo hapa Mkwakwani. Mpira umekwisha, Mgambo wanaibuka na ushindi wa goli 2-1 na kupanda hadi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
A hype before Uganda Attracts Investment From Jay Z, Kenya Has Attracted 2 Chainz And Now Tanzania Has Attracted T.I October 17, 2014 Kenya has managed to attract 2 Chainz which is a very...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Morocco ni mwandaaji wa Michuano ya Kombe la mataifa Afrika 2015 Serikali ya ufalme wa Morocco itakutana na maafisa wa shirikisho la soka barani Afrika,CAF kwa ajili ya kufanya uamuzi kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi huyu mtu nanona anatuharibia timu, kwanini anamng'ang'ania huyo Jaja wake, na kutukosesha ushindi, asituletee ubishi wa kiscolari hapa! Inakuwaje Tegete kafunga magoli mawili mechi...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Ujio wa kocha Patrick Phiri ulileta faraja kubwa miongoni mwa mashabiki wa timu ya soka ya Simba SC a.k.a Mikia FC au Dar United iliyomaliza katika nafasi ya Nne msimu uliopita. Aidha usajili wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom