Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Sio sababu tuh ni shabiki wa Arsenal naona Arsenal ushindi ni 75%......kuacha Ozil, wachezaji majeruhi muhimu kurudi itaboost shambulizi Nyumbani Emirates, kama winga ya kulia Walcott, midfielder...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
ctanii nime watch the match from ziro min to 9oth min kikos chetu chelsea wamecheza 12 pamoja na refa yan TUMEBEBWA KUNA anaebisha
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Baada ya Ethiopia kujiondoa kuwa mwenyeji wa michuano Soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati CECAFA mwaka huu, Timu ya Taifa ya Tanzania, taifa Stars imevunja kambi ambayo ilikuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye taarifa za mchezo tunaomba watujuze tujue chama letu limefanya nn leo Mshauri wa masuala ya kiufundi wa Rais wa TFF, Jamali Malinzi, Pelegrinius Rutahyuga. TIMU ya soka ya taifa, Taifa...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
The sign posted outside the Parokia Ya MT. Martin Wa Porres church seems to forbid parishioners from wearing the distinctive red jerseys United supporters may want to stay home if the club ever...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama ukijaribu kuangalia na kutafiki kwa kina utaweza tambua ya kwamba wanamuziki wa kikenya wanabadilika kutoka aina ya muziki wao (genge) na kuanza kuimba katika miondoko ya bongo flava...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Afrika, timu ya taifa ya Nigeria, imekosa tiketi ya kushiriki fainali za kombe hilo kwa mwaka 2015 nchini Guinea ya Ikweta baada ya kutoka sare nyumbani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
katika shindano linaloendelea la mtani jembe mpk sasa yanga waanaongoza kwa ulevi kuliko simba sasa ndugu zangu nyie leweni tu lakini okwi anawasubiri uwanjani
1 Reactions
11 Replies
2K Views
A policeman appears to strike a fan with his baton as Ivory Coast fans invade the pitch at full-time in Abidjan In the foreground, fans clamber over the crossbar in celebration at their team's...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye Kocha Mkuu wa Mbeya City Council kaachia ngazi. Akiongea na TBC Taifa Juma Mwambusi amesema mengi yamesemwa, yeye pamoja na familia yake wametafakuri na kuamua kuwa kuachia ngazi kwake...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tukubuke Azama TV walivopata taabu ya kukubaliwa kuonesha mechi za Ligi kuu hata hivo wakafanikiwa na kulipia gharama stahiki mpaka leo. Sasa TBC inaonesha ligi daraja la kwanza uwanja wa Karume...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kati ya majiji makubwa hapa tz yani ikitoka dar basi mza inafuata ki uhalisia mza ilitakiwa kuwa na timu hata mbili za ligi kuu.....! Cha kushangaza hatuna timu hata moja...! Tim zetu za pamba na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Why katika mpira wa miguu mchezaji akafunga goli kwa kichwa goli linakubalika? kuna uhusiano gani kati ya mguu na kichwa katika mchezo huo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fifa has submitted a 'criminal complaint' to Switzerland's attorney general after a two-year investigation into possible World Cup corruption. The complaint concerns individuals linked to awarding...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Wenye vingamuzi huku ndio tunatoka zimiwa UMEME ila BETRI za simu zinatuokoa Any updates Matokeo ya Mwisho, Argentina 0 - Ureno
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu salam ivi jamani hamuoni ichi kipaji cha haruon moshi maarufu kama boban kinapotea bure ivi kweli amekosa washauri mpka anapotea kiasi ichi? me naamini soka la Tz bado linamuitaji sana...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
EQUATORIAL GUINEA MWENYEJI WA ‪#‎AFCON2015‬ Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limeitangaza Equatorial Guinea kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika baada ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa uwanja wa Karume unatumika kwa mechi za ligi daraja la kwanza cha ajabu uwanja huo licha ya kuwa ofisi za TFF zimo humo lakini hilo hawalioni ni hatari mno kwa wachezaj kwani hauna uzio wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasallaaam wana JF!! Kupitia akaunti yao (Azam TV) ya Facebook hizo ndio chaneli zitakazokua zinapatikana kwenye king'amuzi chao,wao hawajaweza kusema bayana kama watakua wanachaneli ya kuonyesha...
2 Reactions
5 Replies
13K Views
Hot photos of Jessica Olsson wife of Dirk Nowitzki in 2014 Hot photos of Jessica Olsson wife of Dirk Nowitzki in 2014 - with sister Silke Nowitzki and mother Helga Nowitzki The following is a...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Back
Top Bottom