Kutokana na uvumi uliozagaa kuwa eti kaseja atarudi simba, napenda kuwashauri viongozi wasimrudishe kabisa juma k. Juma kama golikipa . Huyu bwana hutumika kugawa timu , mkimrudisha mtakuwa...
LEO FIFA imetoa Listi ya Ubora Duniani na Mabingwa wa Dunia Germany bado wako Nambari Wani wakifuatiwa na Argentina na Colombia wakati Tanzania imepanda Nafasi 5 na kukamata Nafasi ya 110...
watch Real Madrid vs Barcelona live broadcast live today
Real Madrid vs Barcelona
View, match, goals, views directly, the game channels, Direct, Online, Live, Link, Link, Live, See, Direct...
Samahani sana ndugu wanajf na wapenda soka wenzangu hebu tu-discuss alichoandika Bin Zubeiry. Ameandika hivi; "YANGA YA MANJI KULIPA 5-0, IMESHINDWA HATA KUIFUNGA SIMBA HII." Akimaanisha simba ni...
British newspaper Telegraph has unveiled a list of the top 100 players in the last 28 years, on the
proviso that the nominated players must have graced the English Premier League since its...
HABARI NDUGU, KARIBUNI MTENGENEZE KIKOSI CHENU BORA MCHANGANYIKO CHA WAKATI WOTE
Best 1930s XI
Best 1960s XI
Best 1980s XI
Best 2000s XI
Best 1945-1959 XI
Best 1970s...
kumbe real madrid ni kibonde wa liverpool.
Miongoni mwa mchezo unaotazamwa kwa jicho la tatu na mashabiki, wachambuzi wa masuala ya mpira wa miguu, wakiwemo wachezaji wenyewe ni mchezo kati ya...
Hello and welcome to LIVE coverage of the huge
Champions League clash between Liverpool and Real
Madrid. These are the European nights theyve been
missing at Anfield, but can the hosts get a...
kwa mtu yeyote mwenye kuujua huu uwanja wa mwembe yanga ni mali ya nani au open spas kama ni wa manispaa temeke panafaa kujenga uwanja wa watoto wampira wa miguu ili wakuze vipaji
Dar es Salaam.
Ndoa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) sasa iko shakani baada ya kampuni hiyo kubwa nchini kutishia kusitisha udhamini wake wa zaidi ya Sh17...
Wadau kuna haya malori yanawekwa uwanja wa Taifa, kuna kero kazaa ambazo niliziona mechi ya Jumamosi:
1- Yanazuia watu kukosa Parking, watu wanaweka magari yao mtaani ambayo ni risk kubwa sana
2-...
TV online watch Real Madrid vs Liverpool Live stream 22/10/2014 Champions League, the date of the match Real Madrid and Liverpool today 10/22/2014 and ducts. The date of the match Liverpool and...
Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea bao lake.
Mchezaji huyo alikuwa na umri wa miaka 23...
Wik 1 iliyopita Nchi ya moroco iliomba kombe la mataifa ya Afrika kusogezwa mbele kutokana na hofu ya ebora lakin CAF walikataa na kusema mashindano yatakuwa mwezi wa kwanza mwakani kama kawaida...
nauliza tff ni shs ngapi imepatikana mbona kimya wakati tunatumia mtandao wa kununua tiketi na zimeanza kuuzwa toka j3
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga...
Mshambuliaji ghali wa Yanga, Mbrazili, Geilson Santos Jaja, juzi Jumamosi alicheza mchezo wake wa nne wa Ligi Kuu Bara alipokutana na Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, lakini...
nawaombeni wapenzi wandishi wa michezo hatutaki ushauri wenu wa mpira wa miguu kuhusu timu ya yanga muiache yanga kama ilivyo ina makocha viongozi kamati kwa maana hiyo tafuteni timu nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.