Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Wadau wa Soka la Bongo, kuna kashfa ya makocha na watu wa ufundi katika timu zetu kulawiti, na wakati mwingine kuomba rushwa ya ngono kinyume na maumbile kwa wachezaji wa kiume ili wawape namba...
2 Reactions
48 Replies
19K Views
Licha ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Burkinafaso FC ya Morogoro katika mechi ya Ligi Daraja la Kwanza, kocha wa Toto African ya jijini Mwanza, John Tegete, amesema kikosi chake bado kibovu kuhimili...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Kiungo Haruna Niyonzima 'Fabregas' wa Yanga ameingia kwenye orodha ya wachezaji wanne wa timu hiyo walio hatarini kuikosa mechi ya kwanza ya watani wa jadi, Simba na Yanga msimu huu wa Ligi Kuu ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Basi la Azam likiwa uwanjani, wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya mazoezi mkoani Mbeya chini ya ulinzi wa polisi. KOCHA wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema rekodi haziwezi kuibeba Azam kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa timu ya Mbeya City Anthony Matogolo, aliyeibuka mchezaji bora wa mwezi Septemba anatarajiwa kukabidhiwa zawadi ya Sh. milioni 1 na kombe kesho katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom...
1 Reactions
1 Replies
989 Views
KOCHA wa JKT Ruvu, Felix Minziro juzi Jumanne alikaa kikao cha dakika 30 na wachezaji wake baada ya mazoezi yao ya kawaida na kuwataka wachezaji hao waache mzaha na kucheza soka la ushindani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Founded 1936 Address Dar es Salaam CountryTanzania
0 Reactions
36 Replies
5K Views
There's gay cricketers, gay rugby players etc but NO gay footballers? Why?
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wana jamii forum, nikiwa kama mwanamichezo nashangazwa kuona report kwamba Simba imecheza na Orando Pirates ya Africa Kusini. Bila kupepesa macho, Orando Pirates imecheza na Black Ace siku ya...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Mpira wa TANZANIA ni wa ajabu sana... Mpira wetu ni mpira wa kitoto mpira wa mchangani..... Just imagine team inasafiri hadi south africa kujiandaa na mechi moja ya watani ya league.. Haya ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Steven Gerrard is celebrating 11 years as captain of Liverpool – with team-mate Jordan Henderson rating him the best skipper in the business, Sky Sports reports. Gerrard was made captain...
2 Reactions
8 Replies
903 Views
Ndugu wapenzi wa soka la Tanzania, Jambo ambalo timu ya simba wameenda kukifanya South Africa si cha kimichezo kabisa, habari kutoka ndani ya club ya simba imethibitisha kuwa wachezaji wamepelekwa...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Simba leo tena imetoka suluhu (0-0) na Orlando Pirates mchezo uliopigwa asubuhi ya leo mechi za kirafiki SA hupigwa asubuhi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Who is Mbwana Samata? Kaifanyia nini nchi yetu? ameachieve nini humu nchini Tanzania tofauti na local strikers wetu? maana anapewa sana publicity wakati hamna alichofanya au kisa yupo TP...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
...Picha hii inamwonyesha mshabiki-wazimu, wa timu ya taifa ya Brazili, wakati timu hiyo ilipomenyana na timu ya Korea, akiwa ameshikilia bango (Banner) linalosomeka maneno yafuatayo: " Neymar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wangu wa tff pole na majukumu ya kuongoza soka gumu sana lenye watu wote makocha,rais nakushauri kama unataka kufanikiwa ktk uongozi wako chukua kipaumbele kimoja kimoja,mf anza na ligi yenye...
1 Reactions
2 Replies
997 Views
The Government is "really concerned" about the rising cost of tickets, and has asked for football clubs to review their pricing. Minister for Sport Helen Grant told the BBC: "I feel clubs really...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Hii ni ndoto ambayo imenijia usiku wa kuamkia leo wakat tunaelekea kwenye pambano la kirafiki kati ya taifa starz dhidi ya Benin. Cha ajabu nimeota starz imefungwa goli 4-1 na mbaya zaidi kocha...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Timu nne zinatarajiwa kupanda Ligi Kuu Tanzani Bara msimu ujao huku timu mbili pekee msimu huu zikishuka daraja ili kuweza kuandaa mpango mpya wa msimu wa mwaka 2015/2016, ambapo timu 16 ndizo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo kuna kituko uwanja wa taifa. Kabla ya mechi ya stars kuna masheikh na maaskofu wametengeneza timu mbili AMANI na MSHIKAMANO. Fourth official ni said meck sadic. Yuko malasusa na viongozi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom