AFRISOCCER TANZANIA
TANGAZO!!!
AFRISOCCER WEEKLY SOCCER CLINICS COMING SOON!
"Mwandikishe mtoto wako kwa ajili ya mafunzo ya soka kwenye Soccer Clinics za kila wiki - Jumamosi na Jumapili"...
Walio mlio jirani na televisheni zenu na mna king'amuzi cha Azam mechi itaoneshwa laivu baada ya shamrashamra za mechi ya viongozi wa dini. Mechi itaanza saa 11 jioni.
Dk 16 Stars 1-0...
Kikosi cha Young Africans Sports Club
Kuelekea kwenye mpambano wa watani wa jadi YANGA Vs SIMBA siku ya jumamosi Oktoba 18, kikosi cha timu ya Young Africans kimeingia kambini leo mchana katika...
Ndugu wanajf kwanza nawasalimu, je humjamboooo!!!! Jamani wapenzi wa soka napenda kuuliza kuwa, lile bango la simba UKAWA ambalo jana tuliliona kwenye...
Kumekuwa na taitizo la wengi wetu kukosa mazoezi ya kujiweka fit kiafya, na wengi mahudhurio ya Gymnasium kuwa adimu pengine sababu ya gharama, lakini njia bora ni kuingia uwanjani kusakata...
big up,namuunga mkono 100%,goli la ugenn ni utapeli (magoli yasiyoonekana)
The method under which the team that scores the most goals away from home wins the tie was introduced in the mid-1960s...
Bodi ya Ligi (TPLB)imemtangaza mwamuzi wa mechi gumzo zaidi nchini ya watani Simba na Yanga, inatarajiwa kupigwa Oktoba 18, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.
Mwamuzi atakayekaa pale kati...
inasikitisha viongozi wa simba wameanza kumangamanga ukipitia blog mbalimbali wanaolaumu tff simba mbovu vijana wanachati mpaka saa nane usiku kweli utafanya mazoezi ya nguvu acheni ujinga tukae...
kama kawaida yao,mwendo ni huohuo hadi mwaka unaisha mechi na yanga tu ndo hawata droo, watafungwa,
SIMBA SC imetoa sare ya bila kufungana na wenyeji Orlando Pirates katika mchezo wa kirafiki...
nataka nijiunge na timu ya kikapu maeneo ya hapa napoishi
nimeshawishiwa na kocha wa timu,kimo na mwili kasema ndo unaoitajika
swali sasa ni je huu mchezonuna future nzuri kwa mwanamke???
Mke wa beki wa zamani wa Simba, Victor Costa Nampoka amelia na kusema umasikini unaendelea kuwamaliza hasa baada ya nyumba yao iliyo maeneo ya Tegeta kuteketea na moto.
"Umasikini huu jamani...
Dar es Salaam.
Hatima ya uwanja wa klabu ya Yanga, Kaunda sasa ipo mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa aliliambia...
nimeona kwenye baadhi ya mitandao eti timu ya benin inakuja kucheza hapa nchini tarehe 12/10 nchi za magharibi mwa africa wameathirika na ebola tafadharini sana
Kuna haja kubwa kwa Shirikisho la soka Tanzania, TFF kuuchunguza upya uwanja wa Mabatini unaotumiwa na timu ya Ruvu Shooting ya mkoni Pwani kufuatia unyanyasaji mkubwa kwa raia unaofanywa na...
Sio maneno yangu hayo bali ni maneno ya Baba wa Floyd May Weather Jr.,ambaye pia ni boxing trainer wake akiwa anazungumza katika interview na Ben Thomson wa Hype.com
May Weather Sr(kushoto)...
Dar es Salaam.
Huku homa ya mchezo wa watani wa jadi ikipanda, Yanga imewazuia nyota wake saba kujiunga na kambi ya Taifa Stars inayojiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Benin...
Simba inajiandaa kuweka Kambi South
Africa kuikabili Yanga October 18,
Taarifa zinasema Simba itaweza kuondoka
kesho au keshokutwa ambapo itaweka
kambi ya muda na itarudi siku moja kabla
ya...
mechi yoyote ya kimataifa ya kirafiki kwa timu za taifa kuripoti saa 48 kabla ya mechi hizo sheria za fifa.
tff msitake kubabaisha vilabu na msituletee uswahili
Kuna mambo yanashangaza sana katika soka letu. Inashangaza kwa sababu, wakati dunia ya sasa ikimulika zaidi mafanikio katika mifumo ya kisayansi, sisi tumebaki kule kule.
Wenzetu wamejitahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.