jana tar 20/09/2014 timu ya yanga ilifugwa na mtibwa goli 2 bila. gazeti la michezo la dimba limepamwa na habari hizi kwa nje. ivi tm kama mtibwa lini zitapewa nafas kwn media za bongo...
Ingawa imetolewa kwa nia nzuri kuhamasisha wadau kununua tiketi mapema kauli hii ya Wambura cum TFF ni kama inashadadia RUSHWA nchini maana implication yake ni kama inabariki walanguzi na kulaani...
Naomba kuwauliza hao kamati ya simba na yanga kama katika kipindi cha utawala wa kuongoza akatokea kiongozi amejiuzuru ni muda gani haruhusiwi kugombea tena
KOCHA Mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar ya Manungu, Morogoro, Mecky Mexime amewashukuru wachezaji wake kwa kuifunga Yanga na hivyo kumfanya apandishe wasifu (CV) wake mbele ya mwalimu wake mkuu katika...
Msanii Jackson Ngechu kimotho makini aka prezzo ambaye alishawahi kuishi na mke wake waliofunga ndoa(pichani hapo chini) ameibuka na kuidai kuwa mume wa zamani hajawahi kuwasiliana nae toka mtoto...
Haya yanaonekana sana katika vijiwe vingi wananchi wanaichukia kwa kuifanya iwe timu ya ccm!Kama unataka kuiokoa jitoe na uwashawishi viongozi wa timu wamwangukie RC aibebe kwani anauwezo wa...
NDANDA kuchele! Hiyo ndiyo habari ya mjini baada ya timu hiyo ya Mtwara kukaa kileleni mwa Ligi Kuu Bara, ikiwa ni mara yao ya kwanza tu kucheza ligi hiyo.
Ndanda iliifunga Stand United mabao 4-1...
Fahad Musana, ambaye ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya soka ya Chelsea, amefariki dunia baada ya mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Frank lampard, kuifungia Manchester City bao la kusawazisha...
Wakuu inawezekana labda ni kwa upande wangu.Ningeomba muifungue website ya TFF TFF | Tanzania Football Federation
Sehem nimeyogundua haraka matatizo ni hizi
TFF | Result
Hapo utakuta matokeo...
Nimejuzuia sana nisiandike lakini nimeona roho inaniuma sana.
Ndugu Kikwete leo asubuhi alikuwepo Morogoro katika shughuli za kikazi na ameahirisha shughuli hizo na atarudi tena kwa kile ambacho...
Michezo raha,
Leo nimeikuta hii kijiweni, Eti Okwi mwisho Chalinze habari ya mjini ni Jaja !!!!!!!!! Michezo ndio eneo pekee linalowajumuisha wanadamu wengi pamoja bila kujali dini,vyama,kabila etc
Mario Balotelli
Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo mshambulizi wa Liverpool
kutoka Italia Mario Balotelli alitukanwa kutokana na rangi ya ngozi yake kupitia kwa...
SIRI za kushindwa kwa timu ya soka ya taifa kufuzu katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).
Siri hiyo ya kukwama kwa timu ya taifa kwenye michuano ya (AFCON), inadaiwa kutokana na-- hujuma...
1) Eric Cantona (On receiving an 8 months ban after kicking a fan): "When d seagulls follow d trawler, it's because they think that sardines will be thrown into d sea".
2) Ian Holloway (After...
Shirikisho la soka la dunia FIFA, limewaambia viongozi wanaounda kamati ya utendaji na viongozi wengine wa juu wa shirikisho hilo kurejesha saa zipatazo 65 za gharama walizopokea kama zawadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.