TANZANIA YAPOROMOKA FIFA:
"Tanzania yashuka kwa nafasi 5 na kuwa ya 115 katika viwango vya ubora Fifa vilivyotolewa leo. Uganda ya 79, Kenya 111. Germany kinara, Holland 4."...
Timu hizi ni mzigo na hazina mipango endelevu zaidi ya kudorore soka LA Tanzania. Hizi ni timu kongwe lakini hazina hata uwanja wa mazoezi kwa miaka yote ya uwepo wao.
Hizi timu zinamiliki club...
Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa wakali wa Jangwani Yanga SC kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira...
Naelekea morogoro nataka kuona mechi kati ya mtibwa na yanga nataka kununua tiketi kwa m pesa naomba nielimishwe unanunuaje mwenye kuelewa mfumo huo anieleweshe tafadhari.
Nilikuwa naangalia baadhi ya magoli na muda si mrefu nikapata uhakika kwamba yule kijana
jaja alikuwa kijana wa kipekeee
katika yote hayo amevunja tena rekodi ya miaka 20 kwa goli lake la pili...
Paradoxically for a man who keeps making history, Floyd Mayweather regards the past as another country, a place he has little interest in visiting, often with good reason. Nevertheless, he wants...
Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye amesema uongozi wao ulikosea kimsingi kufuta michezo shuleni.
Mwishoni mwa 1996, Serikali kupitia aliyekuwa...
Wakuu habar? habari ya ofisi nyingi ilikuwa ni jaja.. nilishawai kueleza juu ya watu wanavyoingia bila tiketi uwanja wa taifa kwa sh 2000 tuuu getin/police.
Nashukuru TFF wamejali lalamiko langu...
Peterson sorry for 'hurt I have
Minnesota Vikings star Adrian Peterson said Monday that he is "not a perfect parent, but I am, without a doubt, not a child abuser."
Peterson, one of the NFL's...
Kuna mambo ya kipimbi nayasikia sikia redioni na
mtandaoni yanikwaza ile mbaya kuhusu hii Yanga
yetu.
1. Yanga kuvunja mkataba na Okwi.
2. Okwi kwenda Simba.
3. Jaja hajui soka na kweli...
Jamani mimi siilewi kuhusu mchezo wa mieleka kwani naona kama wanaigiza kwasababu mtu unakuta anapigwa mpaka na viti alafu anashinda naona kama Jet Lee akiwa anapaa na kumpiga jambazi
Mnamkumbuka Abullah Mrisho aliyechezea timu ya Simba Ssports mwaka 1977 hadi 1979?
Alizaliwa mwaka 1954 mkoa wa Morogoro, Kilosa. Haya ndiyo maisha yake anayoishi na hapo ndipo nyumbani kwake...
Jana watangazaji walisema Yanga mpinzani wake ni timu ya Azam sio Simba tena sasa hivi Simba ni kama Ndanda fc.
Naombeni Yanga mkubwa mwenzako anashushwa thamani Azam atampotezea Simba katika...
Nimepata habari zilizo na uhakika kuwa mfadhiri wa hiyo timu amepanga kugawa pointi 6 kwa Azam na 6 kwa Simba eti kumkwamisha Yanga katika harakati kuwania ubingwa.
Kwa mpango huo ndio mwaka jana...
Wivu hufanywa na wanawake wasiofanya kazi au watoto wadogo ni mara nyingi Yanga huweka kambi bagamoyo au Pemba na Simba huweka Unguja sasa leo hii wanawaiga yanga eti wanaenda Pemba.
Nawauliza...
Benki ya NMB, yenye makao yake mjini Dar es Salaam imeingia mkataba wa udhamini na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam FC. Taarifa zilizopo kuhusu mkataba huo haziweki wazi kuwa mkataba ni wa muda...
Fuatilia uzi huu kupata matokeo ya mechi hii live kutoka uwanja wa taifa
kikosi simba
1.ivo
2.cholo
3.hassan isihaka
4.joseph owino
5.abdi banda
6.willian isihaka
7.awadh juma
8.shaban kisiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.