Serena Williams wins third straight U.S. Open
Serena Williams, of the United States, holds up the championship trophy after defeating Caroline Wozniacki, of Denmark, during the...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Limerudisha Ligi Daraja la Pili na itaanza kuchezwa Novemba mwaka huu.
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limerudisha Ligi Daraja la pili na itaanza kuchezwa...
Mechi baina ya Yanga na Big Bullets toka Malawi iliyokuwa ichezwe leo Taifa Stadium imeahirishwa.
Source: Mwanaspoti FB Page.
Nadhani lile Soka la kitabuni lililooneshwa na "Simba Starehe" jana...
It is the old dilemma: what do you do when there's a big football match on but you've been invited to a wedding at the same time?
Sneak a radio into the service to keep up with the action, or...
Share
YANGA kumbe wajanja sana kwani walikuwa wanaisikilizia Simba kama ingemtema straika Amissi Tambwe tu, fasta ingemsubiri bandarini Dar es Salaam na kumsajili kwa dau la Sh48.7 milioni kisha...
INAONEKANA ushindani wa Ligi Kuu Tanzania Bara umekuja mapema hata kabla ya muda wake, sasa ukitaka kuamini sikia kauli hii iliyotolewa kutoka Mtibwa Sugar kwenda kwa Simba.
Ofisa Habari wa...
Ukitafakari sana kwa nini mchakato wa tiketi za kieletroniki zinacheleweshwa unaweza usipate jibu muafaka lakn kwa hakika mambo yaliyotokea kwa siku kama ya jana (06/09/2014) wakati Simba ikicheza...
Manny Pacquiao amesema majadiliano yanaendelea juu ya-bambino la Pauni Milioni 300 baina yake na Floyd Mayweather Jnr.
Mabingwa hao wawili wa uzito wa Welter duniani, kwa muda mrefu wamekuwa...
UKIONA malumbano ya usajili yanapamba moto huku kila klabu ikionekana kuwa makini katika kufanikisha suala hilo, basi fahamu kwamba hiyo ni mojawapo ya alama za kukua kidogo kwa soka.
Tanzania ya...
KAZI inaendelea. Simba SC imesajili mchezaji wa pili kwa ajili ya msimu ujao, ambaye ni chipukizi wa Kagera Sugar ya Bukoba, Mohammed Hussein Mohammed Shabalala.
Chipukizi huyo mwenye umri...
Timu ya Mbeya City Council Fc inayoshiriki Ligi kuu ya soka Tanzania bara imetangaza kuwa italipa karo za shule kwa watoto zaidi ya 100 wanaosoma katika shule mbalimbali zilizopo mkoani Mbeya...
Gael Monfils of France returns a shot against Grigor Dimitrov of Bulgaria in their men's singles fourth round match on Day Nine of the 2014 US Open at the USTA Billie Jean King National Tennis...
IJUMAA ya Oktoba Mosi, 2010 klabu mbalimbali za kulipwa duniani zilianza kutumia mfumo wa wazi wa uhamisho wa kielektroniki wa wachezaji, mfumo ambao ni rahisi zaidi na unaochukua muda mfupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.