Mahakama Kuu ya michezo nchini Brazil, imechukua uamuzi wa kufuta moja ya klabu nchini humo baada ya kundi moja la mashabiki wake kutoa matamshi machafu yenye lengo la kueneza chuki za kibaguzi...
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi.
Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe...
Wana JF,
Pembeni ya uwanja wa uhuru kwa upande wa barabara ya Mandela kama unaelekea junction ya kilwa rd/Mandela rd kuna majengo chakavu ambayo hayakumalizwa kujengwa. Maeneo haya ndio kundi la...
mechi ya ngao kati ya azam na yanga namtahadharisha mwamuzi awe makini na mkweli katika uamuzi wake asipendelee yanga wala azam na hatutaki mateke kwa timu hizo
Mbeya city fc. ni Kati ya timu ambazo zimekuja kubadili kabisa soka la USIMBA na UYANGA.
Najua hakuna asiyejua ubishi wa Mbeye city fc. kwanza mimi naipenda sana, watu ninapowaona wamevaa jezi za...
Nimeikuta kuleee..Nikasema ngoja niitupie wadau waione na huku!!!
KAMA LIGI KUU YA UINGEREZA INGEKUWA DARASA LA SHULE YA SEKONDARI....
1.Liverpool ni mwanafunzi ane jisifia
na kuona ana akili...
FC Lupopo yadai Yanga imewadhulumu fedha kwa usajili wa Twite.Yanga walitakiwa kulipa dola 15, 000 kama wamemuongezea mkataba Twite lakini hawakufanya hivyo!
"Tutasonga mbele hadi FIFA".
Dawa ya...
Hii kaulimbiu ya Yanga nimeipenda sana...
DAIMA MBELE.......NYUMA MWIKO.
Inafaa itumike sehem nyingi sana hasa zile za starehe kupunguza matumizi ya mtandao.
Cc.TeamBataBatani..
Nimeona kikosi cha timu ya taifa ya uganda inayotarajia kucheza na guinea simuoni mchezaji Okwi kwa nini?
Au yupo njiani hata walipocheza na ghana sijamuona
Kuna Systems nyingi watu huwa wanakuja nazo ila mwisho wa siku kutokana na probability na odds zina-favor mtoa odds ni kwamba Bookmaker huwa anashinda tu mwisho wa mwaka, hata ukimpiga leo baada...
Emmanuel Okwi leo ameruhusiwa kuchezea Simba bila ya kulipa chochote baada ya kikao cha kamati ya sheria na haki za wachezaji kubaini kwamba hakua na mkataba na Yanga tokea January 2014.
Kamati...
Vodacom ikikabidhi vifaa vya michezo kwa timu zitakazoshiriki ligi kuu ya Vodacom msimu ujao, Tanzania bara.
WADHAMINI wa Ligi Kuu Bara (VPL) Kampuni ya Vodacom, jana Jumatano ilitoa vifaa kwa...
kiufundi...!! Nani anahitajika zaidi SIMBA SC kati ya OKWI na MUSOTI..?!
1. Mapato. Usajili wake utaongeza mkwanja katka club, mana sisi tutajazana viwanjani kuangali soka la kitabuni, mtaa wa...
YANGA SC imevunja Mkataba wa kupitishia malipo ya ada za wanachama wake Benki ya Posta na kuingia Mkataba mpya wa aina hiyo na beki ya CRDB.
Viongozi wa Yanga SC na CRDB wanakutana na Waandshi wa...
Hivi karibuni kulikuwa na mgogoro kati ya Emmanuel Okwi na klabu ya yanga, kuhusu maswala mbalimbali ya kimkataba, hapo jana kamati ya TFF imeamua kuwa mkataba kati ya yanga na Okwi haupo tangu...
niliona hii habari kutoka katika gazeti la citzen nilishangaa sana na nikawa najiuliza hivi kama tff imetuma maombi katika clab ya barselona kuitaka waje tanzania hizo pesa za matuzo wakiwa hapa...
Mtangazaji wa zamani wa Tbc1 ndugu Jerry Muro ametangazwa kuchukua nafasi ya Baraka Kizuguto aliyekuwa ni msemaji wa klabu ya Yanga!
uteuzi huo unaanza mara moja
Jerry Muro mtangazaji wa zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.