Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
MMILIKI wa duka la vifaa vya michezo la Urhul lililopo jijini Dar es Salaam, Kassim Dewji, amethibitisha kuwa kwenye michezo ya Ligi Kuu Baramsimu ujao, Bodi ya Ligi itatumia mipira aina ya Adidas...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeupenda sana,na sisi simba tuige ingawa na wao yanga wameiga kwa azam.
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Ni kama fainali ya kombe la dunia ilijirudia leo katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Ujerumani na Argentina. Katika fainali ya Brazil,Ujerumani ilishinda kwa bao 1-0. Leo, Argentina...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu Mchezaji ananikumbusha Jama Mba
1 Reactions
15 Replies
3K Views
kati ya jua kali na nonini nani unahisi ni zaidi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa muda sasa mjadala wa sakata la Okwi, aka. mr vituko, mpenda fedha, lkn naona wengi hatujajaribu kujadili hoja za msingi. Kwa faida yetu wote hebu tupanuane mawazo kwa pamoja; 1...
4 Reactions
71 Replies
10K Views
Analipwa Tsh 1500/sec, 90,000/minute; 5,200,000/hour; 99,000,000/day; 900,000,000/week; 3,900,960,000/month Big earner: Radamel Falcao will earn nearly £350,000 a week...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Fans at the Nakuru Prinsloo 2014 rugby tournament Fans at the Prinsloo Sevens - 2014 rugby tournament at the Nakuru Athletics Club that ran from August 29 to 31. PHOTO | SULEIMAN MBATIAH |...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hili swali nimekuwa nikijiuliza tangu msimu uliopita, Man united inaishia kutaja majina ya wachezaji tu kwa mfano msimu uliopita Sesc Frabregas ailikataa katakata kujiunga na man u lakini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama linki inavyoonyesha hapo chini rapa maarufu wa Marekani Jay Z ambaye aliwahi kuja Tanzania kipindi fulani pamoja na kiongozi wa Al Qaeda Osama bin Laden ni mashabiki wa Arsenal FC Kumbe...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Danny Welbeck in action for England The 23-year-old England international forward joins Arsenal from Manchester United, where he made a total of 90 appearances, scoring 20 goals. Since making...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna wwakati jezi za simba zilikuwa na logo ya adidas,swali ninalojiuliza mi kuwa je simba walidhaminiwa na adidasi ama ilikuwaje?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jana katika uwanja wa Aaman uliopo hapa Zanzibar, timu ya Simba Sc iliweza kuwafundisha soka maafande wa KMKM kwa kuwafunga goli 5 kwa bila. Magoli ya Simba Sc yalifungwa na Amis Tambe (2)...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanasema OKC wanam trade to Philadephia 76SIXERS....Lakini watam waive....sijaelewa hapo but ni kama mkataba unasubiriwa tu uishe wam drop... The Oklahoma City Thunder have traded Hasheem...
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Evodius Mtawala ameachia ngazi ya ukurugenzi wa sheria na wanachama wa shirikisho la mpira wa miguu nchini -TFF, Taarifa kutoka ndani ya shirikisho hilo zinasema katibu mkuu huyo wa zamani wa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Serikali inatakiwa kuboresha MIUNDOMBINU YA MICHEZO na KUBORESHA maslahi kwa wanamichezo ili kupunguza tatizo la AJIRA. Bunge la bajeti linaanza kesho huku Serikali ikiwa imetoa mwelekeo wa...
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Ratiba ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara msimu wa 2014-15, imetoka mchana wa leo. Ratiba hiyo imezingatia michuano ya Chalenji itakayochezwa Novemba, usajili wa dirisha dogo Nov 15- Des 15, ushiriki...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
nimekuwa nikijiuliza, faida ya kagame cup ni nini?ni kumtukuza rais kagame au ni kwasababu africa mashariki na kati hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuweka kombe kama alivyofanya kagame...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Mchana huu anataraji kuwasili katika uwanja wa ndege wenye hadhi na wakisasa wa Linate... Kisha hatua itayofuata ni msafara wa magari ya kifahari sambamba na maelfu ya washabiki watakao...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mwanariadha wa Tanzania, Sabas Daniel ameibuka kinara kwenye fainali ya kurusha mkuki na kutwaa medali ya dhahabu kwenye mashindano ya Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom