Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Papa Wemba rocks Nairobi at Korogo Festival Congolese musician Papa Wemba with his dancers on stage during the Koroga Festival at the Arboretum grounds, Nairobi on August 24, 2014...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Timu ya taifa 'Taifa Stars', Alhamisi jioni imeondoka nchini kuelekea nchini Morocco ,kwa ajili ya mchezo wao utakaofanyika jumapili kukamilisha mchezo wa mwisho wa kundi D kwa kunyukana na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba anayejua vikosi vya kila timu vitakavyomenyana 23/08/2014. Kwa Tanzania nimemsikia Boniface Pawasa . wengine je ... ... Magwiji wa klabu ya Real Madrid ya Hispania watakuja Tanzania...
0 Reactions
195 Replies
24K Views
Timu ya Daraja la kwanza Tanzania Bara ijulikanayo kama TESEMAA F. C yenye Makazi yake Manispaa ya Temeke jijini Dar Es Salaam, leo imebadili jina rasmi na sasa itaitwa KMC F. C ( Kinondoni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Fainali, kutoka Uwanja wa Amahoro SUN 24. AUG 17:00 1 - 0Al-MerreikhAPR FC Al-Merreikh, mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2014 Mheshimiwa 'Spika' naomba kutoa taarifa kuwa mashindano ya...
2 Reactions
171 Replies
21K Views
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi jana alianza rasmi ufungaji wake kwa kupachika mabao mawili katika mabao matatu kwa bila dhidi ya Elche. Kazi imeanza...kila la kheri Leo!
1 Reactions
1 Replies
828 Views
Ki ukweli Kila kitu na wakti wake na bahati yake, Sijuhi leo tyson anajisikiaje? ni sawa na anavyozichanga Diamong kwa sasa ukifananisha na enzi za sir. nature, Prof jay na wengine walio vuma kma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cameroonian Albert Ebosse has died after being hit by an object thrown by spectators following a game in Algeria. Ebosse, who was 24, was declared dead after being taken to...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Wakuu hii mechi nilikuwa naisuburi kwa ham sana.Kwa sie wadau wa michezo. Lakini Umuhim wa mechi na hali halisi naona haviendani kabisaa. Maana majuzi tu tumeowaona Real Madrid wakicheza na...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Huenda Jaja wa Yanga asiichezee timu hiyo msimu huu. Hii inatokana na klabu yake huko brazil kugoma kutoa ITC yake kwa madai ya kutaka pesa ya uhamisho kiasi cha dola laki 3. Pesa ambayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wadau, hususani wapenda soka, wenye kuijua soka ya bongo tokea enzi hizo kuanzia mwaka 1990 mpaka 2000, ungeambiwa uwapange wachezaji mbalimbali unaowafahamu, hususani wa timu zetu mbili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
.... coverage wanayopewa wachezaji wa zamani wa Real Madrid (wengine ni wazee kuliko mimi) ina manufaa gani katika michezo au uchumi wa nchi hii? Ingekuwa hii mechi ni charity ningeelewa lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu uzalendo wako upo wapi zaidi ukijipima,uko kwa taifa letu au clubs za ulaya na nchi zingin,sijuie/? Upande wangu naipenda sana Chelsea kuliko Taifa Stars,sijui nye wakuu!
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Mwambusi ametamba timu yake itafanya maajabu ambayo yatashangaza wadau wengi wa soka nchini tofauti na msimu uliopita. Mwambusi alisema ana mbinu mpya kabisa atakazozitumia kwa vijana wake huku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Atafit akijiunga na moja kati ya vilab hivi viwili. 1. Dortmond 2. Atletico Madrid style yake ya uchezaji na aina ya uchezaji wa vilab hivi, jamaa atatisha. Aachane na man united, kwanza...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Familia za viongozi wa benchi la ufundi na madereva wa timu ya taifa, Taifa Stars, wamelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya kutolipwa fedha zao wanazotakiwa kulipwa kutokana na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wale wawakilishi wa TFF kwenye bonanza la Musonye wametolewa kwa mikwaju ya penati. Huko nadhani hongo zilidhibitiwa la sivyo wangechukua kombe.Mambo yameenza kuwa mabaya hata ligi kuu wataoonga...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mpira wetu unadidimia kila kukicha bila ya kujua tatizo liko wapi.Ila kwa utafiti mdogo nilioufanya nikagundua wachezaji wetu wengi wameathirika na mihadarati.Sasa nini cha kufanya?Tunatakiwa...
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli, 24, yuko njiani kwenda England kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya huku mazungumzo yakiendelea ya kujiunga na Liverpool kwa pauni milioni 16...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna tetesi ambazo bado zinaendlea kuwa tetsi kwamba wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara wataongezwa hadi Kufikia Saba kutoka watano wa sasa My Take Huenda Ndio Maana Muda...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom