Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kwa miaka zaidi ya ishirini timu yetu ya taifa haifanyi vizuri kimataifa hii naitafsiri kama mkosi sio vinginevyo. Daahh.....!! Katika kuuliza uliza nikasikia kipindi cha nyuma utawala wa Alhaj...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Michuano ya Jumuia ya Madola ilikamilika wiki iliyopita huko Glasgow, bila timu ya Tanzania kutwaa medali yoyote. Siku nne kabla Mashindano hayajafika tamati, Waziri mwenye dhamana ya mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf! Kesho kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani baina ya timu tajwa hapo juu,yeyote anayejua muda wa kuanza mechi hiyo anihabarishe tafadhari
0 Reactions
18 Replies
3K Views
timu mbili kutoka DRC Tp Mazembe na Vita club zimefuzu kuingia nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika baada ya timu zote kufikisha point 10,tp mazembe iliichapa al-hilal omdumand ya Sudan 3 - 0...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu AZAM TV Katika Tamasha la Matumaini. Ipo Live katika Mechi ya Wabunge wa Simba na wabunge wa Yanga. Mpaka Sasa Yanga inaongoza Bao moja kwa Pasi murua kutoka kwa Mwigulu Nchema na mwenzi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limeiengua Yanga SC katika michuano ya Kombe la Kagame na nafasi hiyo kupewa Azam FC, zote za...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
REFA maarufu England, Howard Webb amestaafu kupuliza kipyenga baada ya miaka 25-na sasa atakuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Taasisi ya Marefa (PGMOL). Refa huyo mwenye heshima kubwa amechezesha mechi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kama wamasai wanajisifu kwa mbio na kucheza na sime au mikuki lakini wanashindwa kutumika kuleta medali kwa taifa nini faida yake,taifa la watu mil47 halina mtupa mkuki au tufe au mkimbiaji na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mpenzi na fuasi wa kazi za C. Ndimbo hususani awapo kituoni kwake, kiukweli ni reporter mzuri sana wa habari za michezo asiyeogopa ukubwa wa kiongozi wala klabu ya mpira maana yeye huacha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimemsoma Wenger akisema Man city wamemchukua Frank Lampard ili kukwepa Uefa finacial fair play regulation. Hii kitu inafanyaje kazi? Ufafanuzi tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Wakuu jana nilikua naangalia malumbano ya hoja ITV juu ya kutofanya vizuri kimataifa na pia leo asubuhi nimeangalia habari za michezo Star tv nimegundua madudu yafuatayo. 1. Imethibitika kua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na Wambura kunyanyasika kiasi hiki hadi kudhalilishwa na bado anaendelea kuitisha Mikutano na wanahabari,Kama ni kweli anapenda mpira kuna timu zinahitaji Viongozi kama Mbeya City...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Last Updated: Aug 3, 2014 08:24 PM EAT COUNTRIES Gold Silver Bronze Total 1 England 58 59 57 174 2 Australia 49 42 46 137 3 Canada 32 16 34 82 4 Scotland 19 15 19 53 5...
6 Reactions
239 Replies
23K Views
Kenya Rugby 24/7 August 2 Aerial shot of the #Kabeberi7s grounds.... taken by a drone. cool stuff. (via safaricomLtd) The cheerleaders in action at #Kabeberi7s Kilunda, the inaugural...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Habarini wadau,mimi nina miaka 20 na ninapenda sana mpira naombeni msaada na ushauri wa jinsi ya kupata timu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chama cha mpira wa miguu CACAFA mashindano yake ni sawa na mashindano ya kugombea mbuzi (ndondo) hawana huduma yoyote kwa timu shiriki hawatoi hata jezi viatu nk Naishangaa TFF inavyoburuzwa na...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kundi A: Nigeria, South Africa, Sudan, Rwanda Kundi B: Mali, Algeria, Ethiopia, Malawi Kundi C: Burkina Faso, Angola, Gabon, Lesotho Kundi D: Ivory Coast, Cameroon, DR Congo, Sierra Leone...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimaye timu ya Tanzania iliyoshiriki Masindano ya jumuiya ya Madola mjini Glasgow imerudi nchini ikiwa imetunukiwa heshima ya kuwa timu yenye nidhamu kushinda zote katika mashindano hayo. Hakika...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nipo mkoa wa Mwanza wakuu, mwenye uelewa juu ya hili anisaidie maana mimi ni mwalimu wa michezo hapa shuleni kwetu na ninapenda kulinda haka ka idara kangu. Asanteni, nategemea kupata msaada wenu...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Niliwahi kukaa na baadhi ya wataalam wa saikolojia na hata viongozi wetu wa dini kubwa mbili wakristo na waislamu na wakanihusia kuwa mwangalifu sana ktk kumpa jina mtoto wako kwani majina huwa na...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Back
Top Bottom