Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
...Toka jana nimesoma magaeti na blogs wote wametofautiana Jina la mfungaji wa goli letu lilokataliwa ...goli hilo lilifungwa dakika ya kumi na sita ( 16 ) ya kipindi cha kwanza...wapo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiungo wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania, Xavi Hernandez ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Hernandez mwenye umri wa miaka 34 alichezea timu yake ya Hispania na kutwaa ushindi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu kijana namkubali kuliko wachezaji wengi pale arsenal,inakuwaje Wenger hamthamini kiasi cha kutoampa nafasi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kip Keino, Obiero lead Team Kenya to Glasgow Games Kenya's flagbearer Mercy Obiero leads the delegation during the opening ceremony of the 2014 Commonwealth Games at Celtic Park in Glasgow on...
1 Reactions
57 Replies
10K Views
Taifa Stars' defender, Shomari Kapombe transfer is sure to go down as one of the most controversial dealings for many past and future seasons. His overseas trials and eventual transfer to France...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika, kishindwa kwa Tanzania huko jumuiya ya Madola kunachangiwa na watendaji wa kamati ya Olyimpic, Bayi anasimama kama katibu, lakini kiuhalisia yeye anaonekana overall...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania yashindwa kupeleka kocha na watu wa kuwahudumia mabondia kwenye mashindano ya madola.Bondia Suleiman Kidunda,ahudumiwa na wakenya wakati akipigana na Kehinde Ademuyiwa wa Nigeria...
4 Reactions
45 Replies
8K Views
Msuli wa mshambuliaji mpya wa Simba, Elius Maguri umekuwa gumzo. Katika mazoezi ya Simba, mashabiki wa kikosi hicho wamekuwa wakijadili kuhusiana na miguu yake kuwa na misuli mingi inayoashiria...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Maandamano yalipangwa kuishinikiza serikali itoe majibu ya barua za kuomba kuongezewa eneo.Majibu yanakuja! Na hayahitaji degree kukisia yatakuaje.unazo ekari 3 tu unaomba ekari 12! Kweli uko...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Sunday, August 3, 2014 Yego spears and pens history as Kenya tops track and field...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa boxing,hivi kule America huu mchezo wa boxing inaonesha unalipa sana,sababu unakuta machalii kuanzia miaka 6 wapo gym hasa hawa ndugu zetu black na wanajifua hasa. mimi...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Jamaa wanaotangaza kipindi cha sports extra wanakera sana wanapokuwa wanatangaza kwani wanakuwa wanachanganya changanya kati ya kiingereza na kiswahili 'swa-english"yaani mpaka wana kera sana...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Mkutano Mkuu wa Klabu ya Simba umetangaza kumfuta uanachama Michael Wambura na wengine 71 kutokana na kuishitaki klabu hiyo mahakamani. [SUNDAY , 3RD AUG , 2014 Mkutano mkuu wa klabu ya Simba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Former Gor Mahia striker refutes reports that he has agreed terms to join Tanzanian giants as bankers’ insist they will not release player till end of season Struggling KCB are concerned about...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 imetolewa na South zfrica baada ya kufungwa 4-0
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ushawahi kusoma mahojiano ya wachezaji wa zamani wa soka wa bongo wanapoelezea kazi wanazozifanya baada ya kustaafu? oh yes wote wanasema ni wafanyabiashara Haswaa, hautasikia sijui...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hiyo ni mechi ya kirafiki. But kwa wenzetu ndio wanatafuta namba hapo hasa wachezaji na kocha kuangalia mbinu zake. Mwanzo mzuri wa Van Gaal na kikosi chake tofauti kama alivyokuwa Moyes katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
yanga wameanika kikosi B kagame cup hili linakubalika katika hayo mashindano mwenye kuelewa atupe ufafanuzi UONGOZI wa Yanga umesema umepokea barua ya ushiriki wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Local sports fans have been left crestfallen following Team Tanzania's poor performance at the 2014 Commonwealth Games in Glasgow, Scotland...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jaman naomba msaada,nawezaje kununua jezi ya Arsenal online na nikaipata hapa bongo??sitaki hizi za Tippo.......
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom