Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Niko uwanja wa Gombani Zanzibar , mechi kali kati ya Shaba fc ya Kojani na Aljazeera ya Wete , matokeo mpaka sasa ni Kojani 2 dhidi ya 3 za Aljazeera , ni kipindi cha kwanza DK 44.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa michezo leo kulikoni? Au hamjaenda uwanjani kama mimi??
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ni maoni yangu tu, hii timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (Ngorongoro heros) ndiyo inayofaa kuitwa Taifa stars ya maboresho, kuna wachezaji ambao wakitunzwa ni hazina nzuri kwa stars, Huu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo ni PFA Award hii ndio my Premier League XI: 1.David de Gea bila Huyu United wangeokota mengi nyavuni 2. Azplicueta nimetizama game za Chelsea Huyu jamaa kamsaidie sana na game ya Leo na...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
MASHINDANO YA KIMATAIFA YA SABA YA MCHEZO WA BAO ===================================== KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Saba ya Mchezo wa Bao...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
LIVE STREAM LINKS
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Former FC Barcelona coach Tito Vilanova has died aged 45 after a long battle with cancer. Source: bbc sport
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Binafsi naungana na mashabiki wenzangu wa Man u kwa furaha niliyonayo pia, maanani furaha niliyoikosa mda mrefu sana tangu mwanzo wa msimu huu unaolekekea kuisha. Ila kuna mambo fulani najiuliza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kweli tbc ni majanga... mtangazaji wa michezo anasema kocha wa Manchester City alikuwa mchezaji wa Manchester United
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania leo siku ya Muungano wamefungwa na Burundi 3-0, sasa ndo walimaanisha kwamba nao wanataka serikali tatu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninahama kuishabikia Arsenal toka leo. Msimu huu mbona hayo maneno siyasikii tena, Kulikoni.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
INNA LI LLAHI WA INNA ILLAHI RAJIUN Aliyewahi kuwa meneja wa Simba miaka ya 70s na 80s (kama sikosei), Abdulrahman Khamis Muchacho, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, maandalizi ya maziko...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wanajamvi naomba niwarudishe nyuma kidogo kwakuwakumbusha kuwa tulikua na ligi ya pamoja ya muungano ambayo ilikua inashirikisha vilabu 3 vya juu toka znz na 3 vya juu toka tanganyika ambapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mnijuze ni kituo gani cha television kinachorusha match hiyo, na mpira unaanza mida gani? Ni hayo tuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jf. naomba mnijuze hivi game ya leo kati ya taifa starz dhidi ya intamba murugamba ya burundi itaoneshwa kupitia station gani ya tv hapa tz?
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Wewe ni team captain wa Azam Fc nilikushangaa sana jana ulipokabidhiwa kombe ukaling'ang'ania utadhani lako hata wachezaji wenzako hutaki walibebe mpaka wakupore ndo uwape,jifunze kwa kuona...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Msimu ulioisha Azam Fc wana wa lamba lamba walishinda mechi za ligi kuu na kutoa droo tu bila hata kupoteza mechi moja. Waandishi wa bongo kama hawajaiona hii rekodi, soka la bongo noma.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The club did remarkably well under Sir Alex Ferguson to keep pace with Chelsea and Manchester City because they have been heading downhill ever since the Glazers took over COLUMN By Peter...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Wana Jf Napenda kujua kama Mzamini mkuu wa ligi kuu bara je anapata mgao unao tokana. na viingirio vya kuangalia mechi?
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Back
Top Bottom