Wakuu Ligi za ulaya zinaelekea Mwisho tumeshuhudia msimu wenye changamoto nyingi kwa England, Germany, Spain na ata Italy na Kwenye UEFA champions league.
Tumeona baadhi ya makocha wakiondoka...
Watu hatuna uhuru,kila gemu tunapigwa tu..!aaaghh...! Hatuwezi kuongea lolote hata mbele ya vibonde wa ligi maana wanaweza kutufunga ! Huyu jama anatupeleka ilipokuwa timu yake,aondoke tu hafai...
This year's title race is one of the
most open in Premier League history,
with Liverpool, Chelsea and
Manchester City in a three-way tussle
that may not be decided until the
final day of the...
Twende hatua kwa hatua kweny mtanange huu
Final Score: Chelsea 1 - Atletico Madrid 3
Atletico Madrid wameingia Final ambapo watacheza na Real Madrid...
Check out, a brand new Dancehall/ Afro-Pop/ duo VibeTricks from Kenya/DRC, just dropped their new track online called Rumble [Rumble riddim 2014 ] Blessings...YamaMoto
Facebook...
Ingawa wanachama na mashabiki hawatapenda kusikia habari mbaya zaidi juu ya wachezaji wake nguli kutimka,inasemekana kwamba Beki kiraka wa timu hiyo mcongoman mwenye uraia wa Rwanda MBUYU TWITE...
Sakata la usajiri wa kiungo wa Yanga Frank Domayo kwenda Azam FC limechukua sura mpya mara baada ya viongozi wa Azam FC kukamatwa na police kwa kosa la kuvamia kwenye kambi ya timu ya taifa...
Pamekuwa na mazowea siku hizi kwa viongozi wa timu ya Yanga kusajiri wachezaji (wengine tegemeo) toka timu ya Simba kwa lengo la kuidhoofisha hivi.
Viongozi wa Simba hubaki wakilalamika tu na...
Nimeona hii kwenye Espn Site kutoka kwa One of the Best Sports Writers Gabrielle.., Nimeona ni-share nanyi and frankly he makes a point...Why tiki-taka was not to blame for Bayern's loss by...
Donald Sterling Racist Tape New Extended Version - YouTube
LOS ANGELES (KABC) -- Donald Sterling, owner of the Los Angeles Clippers, has come under fire after audio of a racist rant that he...
Nilikuwa nahitaji link ya kuangalia game ya Bayern Munich na Real Madrid kupitia internet mwenye link kama vipi anaweza akatupia,au kwa wataalam anielekeze jinsi ya kufanya ili niweze kuona kitu...
Super Mario
Sergio Aguero tweeted a photo of himself and Brazilian player Marta in support of Dani Alves
David Luiz and Willian
Neymar
Fernandinhoab
Bacary Sagna
Yaya...
Johannesburg, RSA
29.April.2014
The ANC may have to apologise to yet another African country after a faux pas from one of its leaders.
Speaking at a breakfast briefing with editors in...
Kwa wale wenzangu wanaopenda kubwabwaja bila kutumia vigezo kujudge ligi ipi ni bora, nadhani mko njiani kutuambia Bundesliga ndo ligi bora duniani kwa sababu timu za Bayern Munich na B.Dortmund...
Kati ya Thibaut Courtous wa Atletíco Madrid na Mignolet wa Liverpool yupi anastahili kuanza kama namba 1 golini ktk milingoti ya timu ya taifa ya Ubeligiji ktk kombe la dunia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.