Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Wachezaji wawili wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Alli Samatta na Thomas Ulimwengu ambao wanachezea klabu ya TP Mazembe ya Congo hii leo walipata faraja kubwa ya kutembelewa na mheshimiwa Rais...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Tumekuwa na kawaida ya kuona ligi mbali mbali za dunia na kuona timu inakuwa na jezi ya kuvaa ikicheza nyumbani tofauti na ikicheza ugenini. Hapa kwetu pana timu zina jezi za rangi mpaka tatu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nikiwa kama mshabiki wa liverpool FC natangaza rasmi kukubali kuwa man city ni mabingwa wapya wa ligi msimu huu 2013-2014 Napenda kutoa pongezi kwao na pia kuwapongeza sana liver na benchi la...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF Sepp Blatter anataka uraisi wa FIFA kwa mara ya tano, akisema kuwa hajakamilisha kile alichotaka kufanya. Huyu babu naona ana-bore sasa. Amekuwa Raisi wa FIFA mara tano bado anasema...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni habari mbaya sana iliyotokea jana jioni watu 15 walifariki na wengi walijeruhiwa jijini Kinshasa baada ya mchezo kati ya timu tajwa hapo juu. Wachezaji wetu Mbwana Samatta na Ulimwengu wako...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Viatu vya Bolt vinagharimu pauni elfu 20 hizo ni dola elfu 34 za kimarekani Mwanariadha huyo bingwa wa Olympic wa mbio fupi sasa ameeingia kwenye akaunti yake ya mtandao wake wa twitter ulio na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vijana wa Stewart Hall leo wapo kibaruani.. Je watapita au ndo zile zile zetu kushiriki.. Updates *************** tanzania 0 - 2 nigeria
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kuna kundi dogo la mashabiki wa simba wanatusumbua wanapiga makelele wakisubiri gari kwenda bunju hahaa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunashukuru sana Star Times,kwa kupanga kutuonenya mechi za kombe la dunia zote 64 buree...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Pazia la Ligi Kuu England linafungwa leo jioni kwa michezo yote 10 kupigwa katika muda mmoja, ambapo burudani zaidi ni kupatikana kwa bingwa katika michezo ya mwisho. England inakuwa miongoni mwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu,nisaidieni kufahamu principals za ku-bet mchezo wa mpira wa miguu hasa soccer la ulaya,brasil na argentina maana nimejaribu k2mia chache nizijuazo kama vile kuwa na budget ambayo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimefungua kipindi cha EATV cha michezo nimekuta anaongea Damas ndumbaro analalamika kua stend Untd imepanda kimakosa na kua imependelewa anaejua ii inshu vizuri ebu atuwekee apa cc:jamal malinzi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuwepo kwa taarifa ya club ya TP Mazembe kuwazuia washambuliaji wawili stars.Mwagane Yeya wa Mbeya City hana tofauti na kina Samata.Tanzania inavipaji vingi .Hakuna sababu ya Taifa stars Kufungwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uongozi wa club ya man u umewajibu mashabiki wake,wamesema vitendo ya vifo vya mashabiki wake kenya kujiua ni stress zao
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekutana na picha hapo chini na sijaelew ni aina gani ya uchezaji hii ina ruhusiwa
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika kuonyesha kuitaka Tanganyika Mashabiki wa timu ya taifa mkoa wa Mbeya jana walitumia bendera ya Tanganyika kuishangilia Taifa stars katika mechi yake dhidi ya Malawi. Hii nimeipenda...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Wadau na Wapenzi wa Simba, nani anastahili kuiongoza Simba kwa sasa make uongozi uliopita umetutesa sana . Mara wauze wachezaji hela hazionekani, mara wasajili magarasa mbaya zaidi Rage amekuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo amewaaga viongozi, wachezaji na wanachama kwa ujumla na amepata timu huko Saudi Arabia.....source huyu jamaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hapo itajidhihirisha endapo akimfunga Elche na Atletico madrid katika la liga.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mshabiki wa Manchester United. Nimekuwa mshabiki wa Manchester United kwa muda wa miaka 15 sasa. Napenda jinsi wanavyocheza. Napenda staili wanayocheza. Napenda jinsi walivyo na ujasiri wa...
12 Reactions
70 Replies
8K Views
Back
Top Bottom