Friday, May 16, 2014
Cocktail Party ya Kumuaga Kocha Hans Der Pluijm iliyofanyika jana kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo makao makuu ya klabu. Kocha Pluijm alikabiziwa kadi ya uanachama wa...
Ikiwa muda ndio unawadia wa mtanange huu kati ya Arsenal na Hull City {Kama baada ya 1 Hour}, wadau tutakuwa tukijulishana kinachoendelea hapo uwanjani.
Leo ni nafasi nzuri ya moja ya hizi timu...
Nilikua miongoni mwa shuhuda wa mechi ya Jana (18/05/2014) baina ya Taifa Starz na Zimbabwe, kwa kweli sikufurahishwa na baadhi ya vitendo vya wachezaji kutubagua mashabiki
Wakati Dida anaingia...
Mmiliki wa Azam FC said s.Bakhresa amewasilisha maombi ya kupata leseni kurusha ndege kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu Azam Fc.Maombi hayo yameshapokelewa na TCAA
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amewapiku nyota wa Barcelona, Lionel Messi, Neymar kwa ufungaji wa mabao kwa mwaka 2014, huku akiachwa na kinara wa ufungaji Cristiano Ronaldo kwa magoli...
Watch Barcelona vs Atletico Madrid Live Online 17/5/2014 La Liga
see Barcelona vs Atletico Madrid Live 17-05-2014 FC Barcelona x Atletico Madrid
Ducts and the date and timing of the transfer of...
Mpira umekwisha punde tu, TP Mazembe imelala kwa bao 1-0 mbele ya Al Hilal ya Sudan katika mchezo wa kuwania klabu bingwa Afrika uliofanyika mjini Khartoum, Sudan. Vijana wetu Samatta na Ulimwengu...
Mchezaji Fernando Torres akiwa kama striker tegemezi wa Chelsea, ameweza kufunga magoli 6 tuu katika epl, na magoli 11 tuu katika michezo yote aliyocheza msimu wa 2013/2014! je ni sahihi kwa...
Samuel Eto'o has described Chelsea manager Jose Mourinho as a "fool" for questioning his age and vowed to play on at the highest level for some time to come.
Mourinho, who was also Eto'o's...
Kwa mujibu wa TBC Taifa Michezo, Julio amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Vice President wa Simba. Amedai Simba imekuwa ikiongozwa na watu wenye uwezo mdogo, yeye anaijua Simba kuliko robo tatu...
Imefahamika barua ya FIFA kwenda TFF haijamruhusu moja kwa moja Okwi kuchezea Yanga bali imeelekeza nini cha kufanya!imeeleza FIFA kama FIFA haihusiki na usajili wa mchezaji bali ni shirikisho la...
Huyu jamaa nimekuwa nikimshuhudia kwenye mechi mbali mbali ki ukweli dogo yupo vizuru langoni mwake, nataka nijue historia fupi ya maisha yake huyu mchaga, najua ni mchaga ila cjajua ni wa sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.