Kazi kubwa inayofanywa vizuri zaidi na uongozi mpya wa shirikisho la soka nchini mpaka sasa inaelekea kuwa ni kufuta yale yote yaliyofanywa na uongozi wa awamu ya kwanza ya TFF ya rais aliyepita...
Wanajamvi juzi kati nilikuwa nipo naperuzi tu net nikaona picha ya jezi mpya ya taifa stars yenye logo ya Adidas tofauti na ile ya Uhlsport.
Tafadhari mwenye picha ya hiyo jezi ikionekana vizuri...
SUAREZ AUMIA GOTI
Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez ameumia goti akiwa mazoezini na ushiriki wake kwenye Kombe la Dunia uko mashakani. Striker huyo wa Liverpool atafanyiwa upasuaji mdogo leo...
IMAGINE NIKO NACHEKI GEMU YA FINALI YA FA CUP, HALAFU NDANI YA DK 10 ARSENO ISHAPIGWA MBILI, NINA PRESURE NA HASIRA, KISHA......
Wife: Leo bora usingeangalia maana mtafungwa nyingi.
Me: Ah...
KUTOKANA NA WENYEJI WAKOMBE LA DUNIA 2014 BRAZIL,,WAMEPENDEZA JINA LA MPIRA UTAKAO TUMIKA KATIKA KOMBE LA DUNIA INCHINI BRAZIL KUITWA BRAZUCA - used by Brazilians to describe national pride in the...
Mm ni kjana wa umri wa miaka 22 nina tafuta timuvya kuchezea yenye malengo pia yenye wachezaji wazur mm nina uwezo wa kucheza winga au midi filda plz naombeni mnisaidie wana jamvi
Jamani tupeane habari lipi linaendelea katika Club yetu pendwa ya Simba, kuanzia nani unampa ushindi wa makisio na kwa sababu ipi? Tafadhali sitaki kusikia uchulo wa mpinzaninyoyote kuanzia...
Hii swala limenishangaza, watu walishabikia wakijua jamaa atasajiliwa kumbe alienda kufanya tangazo la Utalii, Ni kwenye ile mechi ya Man Utd v Seatle,,source Bin Zubeir
Mgombea wa nafasi ya Rais ya Klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam,Michael Wambura amewekewa pingamizi dhidi ya ugombea wake.Pingamizi hilo limewekwa na aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu...
Kenya kuchuana dhidi ya Inter Milan
Kenya kuchuana dhidi ya Inter Milan Nairobi
Kwa mara ya kwanza klabu mashuhuri duniani
Inter Milan ya Italia inazuru bara la Afrika.
Inter inatarajiwa...
MWENYEKITI wa Friends Of Simba (F.O.S.), Zacharia Hans Poppe amewaambia wanachama wa Simba SC wahakikishe wanachagua viongozi wazuri katika uchaguzi wa klabu hiyo Juni 29, mwaka huu, vinginevyo...
Hakika mimi sio mgeni na wala sio mwenyeji sana humu jamvini ila leo nimeamua kutoka vichakani kueleza kero yangu. Kuna kitu nimegundua kuna thread nyingi ambazo ni kama sticky kwa ajili ya timu...
Manchester United leo imemtangaza Mholanzi Van Gaal Kuwa Kocha wao mpya.
Van Gaal Amesaini mkataba wa kuifundisha Man Utd Kwa Miaka 3.
Ataanza kazi mara baada ya kumalizika kwa kombe la Dunia...
Nilikuwa naperuzi CNN leo kwenye michezo nikakutana na hii habari ya "Tanzanias forgotten marathon runne
Tanzania's most decorated Olympian
Running champion chases eduction dream
Dar es...
Rais wa Bolivia Ivo Morales, amesajiliwa na club ya daraja la kwanza kuchezea klabu hiyo. Kwa mujibu wa bbc dira ya dunia, Morales mwenye maiaka 52 atakuwa akicheza kwa dk 20 na kulipwa zaidi ya...
Shomari Kapombe beki wa kushoto wa zamani wa simba ya Dar amepangwa leo kwenye mechi ya stars na Zimbabwe.
Kitaalam naamini kocha mpya wwa stars amechemsha sana kwani kapombe takribani mwaka...
Najiuliza sana kuhusu hizi tiketi na mapato kiduchu katika mechi zetu, Mfano hai ni mechi ya juzi na wengine walidiriki hata kussitaki kusema TFF ijichunguze katika hilihusha bei iliyopangwa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.