Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya CECAFA Nile Basin Cup, Mbeya City fc wameaga mashindano hayo baada ya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Victoria University ya Uganda katika mchezo wa robo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Dokta Damas Daniel Ndumbaro amefichua siri na kusema yeye ni mwalimu wa Michael Richard Wambura. Ndumbaro amesema Wambura ni mwafunzi wa sheria mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
http://youtu.be/96Wk-MdfN_Y
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Mnamo may 11 wakati ligi kuu ya England inafungwa,mchezo kati ya swansea city na sunderland uliniacha katika mshangao baada ya kukuta jina la mchezaji adam kingwande katika benchi la swansea city...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
http://2.bp.blogspot.com/-jreaL3HN9X4/U4dom--E6fI/AAAAAAAA-sw/mE5nub2ds_I/s1600/bocco+na+kapombe.jpg Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM HATIMAYE klabu ya Azam FC imefanikiwa kumsajili, beki...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Penalty ya mwaka..Kama wewe referee ungefanyaje? http://youtu.be/m8TeCUcMiSE
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mbeya City imetinga robo fainali ya michuano ya Nile Basin inayoendelea nchini Sudan baada ya kutoka suluhu na Enticelles ya Rwanda juzi usiku katika Uwanja wa Khartoum, Sudan...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kikosi cha Brazil kilichoongozwa na mchawi wa soccer Pele Italy German Argentina Uruguay France Hispania England Kwa kipindin cha miaka 83, fainali za Kombe la Dunia zimefanyika mara 19, lakini...
2 Reactions
21 Replies
15K Views
Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya kuanza michuano mikubwa ya kabumbu duniani.Huku mashabiki wa soka tumekuwa tukifanya maandalizi ya ili kuweza kushuhudia michuano hiyo.Binafsi sina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uchunguzi wa shirikisho la soka la Italia umebaini kuwa mchezaji tineja wa Cameroun Joseph Minala ana umri wa miaka 17 wala sio 42 kama ilivyodhaniwa na kuripotiwa katika vyombo vya habari...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Umati wa wanachama na wapenzi wa simba, waliofika klabuni hapo jana mchana, na kushinikiza Wambura arudishwe kwenye uchaguzi, au wapewe sababu za Wambuea kuenguliwa! Je, Wambura kweli hastili kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
The Reds have made an offer for the England international that could rise to £9 million as Brendan Rodgers looks to supplement his first-choice attacking line of Luis Suarez and Daniel Sturridge...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Alivuna zaidi ya Tsh 24 million za madafu kwa kila sekunde aliyokuwa akimpa makonde Maidana manamo tarehe 3 machi,2014 huko Las Vegas, USA. , ikizingatiwa kuwa kwa sasa dola moja ya marekani ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
That time we have been waiting is today! Nani atalitwaa kombe? Msisimko unaweza kuwa sio mkubwa sana kwa kuwa wachezaji walioko national teams watakuwa wakicheza kwa tahadhari ili wasiumie...
2 Reactions
500 Replies
32K Views
Kocha Julio akiwa katika harakati za kugombea nafasi ktk chama Simba,amepotelewa na cheti chake cha form four.Hii inampa wakati mgumu mgombea huyu kutokana na vigezo vya kugombea ktk club hiyo.MY...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
the Qatar Islamic Cultural Center lists some specific dos and don'ts for would-be visitors: Men should not go shirtless, and women should not wear leggings as pants. There are also some...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani,mwenye kujua kiundani kwanini CHINA haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hivi huyu jamaa ana matatizo gani kiasi cha kuelekea kukataliwa kila aendako? TFF, Mara na sasa Simba kote wanaonyesha kutokumtaka. Wanaomjua vizuri hebu tujuzeni.Kulikoni?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani kama umefuatilia tuzo za VPL jana,kuna kitu kilicho nishangaza hasa tuzo ya Mchezaji bora wa ligi et ni Tchetche wa Azam. kulingana na watu aliopambanishwa nao akina Matogolo ni halali yake...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Miaka nenda rudi tumepata kushudia mastaa vinara katika ulimwengu wa soka ambao walikwepo, na wengine ambao bado wanatesa na wengine chipukizi kati ya hayomajina ni nani unamkubali kuzidi wengine?
0 Reactions
57 Replies
20K Views
Back
Top Bottom